The Rise and Fall of Air Tanzania

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 usiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
 
Walikuwa wanasubiri ijae!Hawajaona sehemu zenye ushindani,kuna jamaa ukiingia Youtube,ilibidi ndege impeleke akiwa abiria mmoja baada ya siku hiyo kukosa wateja!Ili kumantain status ya ndege,akasafirishwa mwenyewe!Hiyo ndiyo raha ya ushindani!
 
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 usiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
Kwenye biashara ya ndege ni jambo la kwaida kusogeza mbele muda, kufaulisha au kucancell safalri. Hata mashirika makubwa ya ndege GulfAir, KLM, BritishAirways tena kwenye international route za Amsterdam ni jambo la kawaida! Kuwa mzalendo! Penda vya nchi yako! Kuchelewa masaa tu povu linakutoka! Nyie ndo mnadonoaga nyama za mboga jikoni! Wee utakuwa mara yako ya kwanza kutumia ndege au mpumbavu au kibaraka wa mabeberu! Shenzi kabisa!
 
Bora kibaraka wa mabeberu kuliko muuwaji na mtakaji.
 
Haya ni mambo ya kawaida, hapa Dubai tulikuwa tuondoke saa moja na nusu, tukaambiwa saa 2 na nusu hadi sasa bado tunasubiri. Tuwe na ustahamilivu wakati mwengine maalim
 
Kwenye biashara ya ndege ni jambo la kwaida kusogeza mbele muda, kufaulisha au kucancell safalri. Hata mashirika makubwa ya ndege GulfAir, KLM, BritishAirways tena kwenye international route za Amsterdam ni jambo la kawaida! Kuwa mzalendo! Penda vya nchi yako! Kuchelewa masaa tu povu linakutoka! Nyie ndo mnadonoaga nyama za mboga jikoni! Wee utakuwa mara yako ya kwanza kutumia ndege au mpumbavu au kibaraka wa mabeberu! Shenzi kabisa!
Nyumbu huyo
 
Hahahaaaa hiyo ni safari ya ndege au Treni ya mjerumani ya Kigoma??
 
Normal things kwenye biadhara hii hasa kwa local flights. Ndiyo umeanza sasa kupanda ndege bro!
 
Cc: Petro E. Mselewa
 
Kwenye biashara ya ndege ni jambo la kwaida kusogeza mbele muda, kufaulisha au kucancell safalri. Hata mashirika makubwa ya ndege GulfAir, KLM, BritishAirways tena kwenye international route za Amsterdam ni jambo la kawaida! Kuwa mzalendo! Penda vya nchi yako! Kuchelewa masaa tu povu linakutoka! Nyie ndo mnadonoaga nyama za mboga jikoni! Wee utakuwa mara yako ya kwanza kutumia ndege au mpumbavu au kibaraka wa mabeberu! Shenzi kabisa!

Mkuu kwa povu hili utakuwa ni mchepuko wa jiwe au umekula 10% ya ununuzi wa ndege, saa hii unaona jamaa wanakumwagia ndimu ya jicho.
 
Normal things kwenye biadhara hii hasa kwa local flights. Ndiyo umeanza sasa kupanda ndege bro!
Asante sana! Hugo jamaa ndo Mara yake ya kwanza kupanda ndege! Tens local route in kawaida kabisa! Angekuwa anaenda international flight kama Britain kutumia KLM hata kama safari ingekuwa cancelled usingesikia anabwabwaja hapa! Kosa tu ni kwasababu in ndege zetu za kizalendo! I see! Mshamba Akizoea ataacha!
 
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 usiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash

That shirika is a piece of political manure spearheaded by Mr air head himself!

I will never board those pieces of rugged planes!

Hata bure sipakii!

Sitakaa nikate tiketi ya shirika linaitwa ATCL!

Pakieni wengine,its my right!

Fvck the regime!
 
Asante sana! Hugo jamaa ndo Mara yake ya kwanza kupanda ndege! Tens local route in kawaida kabisa! Angekuwa anaenda international flight kama Britain kutumia KLM hata kama safari ingekuwa cancelled usingesikia anabwabwaja hapa! Kosa tu ni kwasababu in ndege zetu za kizalendo! I see! Mshamba Akizoea ataacha!

Hivi na KLM huwa zinakua cancelled?
 
Haya ni mambo ya kawaida, hapa Dubai tulikuwa tuondoke saa moja na nusu, tukaambiwa saa 2 na nusu hadi sasa bado tunasubiri. Tuwe na ustahamilivu wakati mwengine maalim
Si kweli acha kutudanganya watu Dubai sijawahi kukuta na na hii kitu hasa ukizingatia connection ni kubwa sana jamaa wapo vizuri.Labda kama hakuna connection ingekuwa ni jambo la kawaida maana yake mashirika mengi yangepata hasara ya kuwatafutia wasafari Hotel za kiwango cha juu na kupelekea fedha nyingi kugharamia malazi na kuondoa faida kabisa.
 
Back
Top Bottom