The Rise and Fall of Air Tanzania

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
736
1,000
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye swala la uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 haiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
 
Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
9,992
2,000

Ingawa nadhani nia yako labda ni kutaka ATCL iwe makini katika utaratibu wa kuendesha biashara yao isilete maudhi kwa wateja, na vile vile kupromote ushindani katika biashara ya usafiri wa anga Tanzania, title ya thread haiendani kabisa na post yenyewe.
 
MWAMFUPE

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
808
1,000
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye swala la uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 haiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
Mkuu niambie nauli bei gan mwanza dar, sijawahi kupandamo humo
 
Valuhwanoswela

JF-Expert Member
Jun 27, 2019
653
1,000
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye swala la uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 haiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
ATCL ni Shirika lilikufa kabla ya kuanza kutoa huduma kwa sababu nyingi tu ikiwa na pampas na ununuzi wa ndege,ianzishaji wa Shirika na uteuzi wa wakuu.
 
Mavipunda

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
5,980
2,000
Mkuu hawa jamaa wamezidi sana juzi tupo Zanzibar tunasubiri ndege inayokwenda KIA kufika saa nne usiku tunatangaziwa ndege haiji tena na wale waliokuwa wanakwenda Dar wakahaulishwa kwenye Precision sisi wa Arusha tukarudi hotel kwa garama zetu
Ndo kusema mashirika yote dunia hayajawahi cancel safari?
 
Emery Paper

JF-Expert Member
Jun 1, 2019
1,415
2,000
Ndo kusema mashirika yote dunia hayajawahi cancel safari?
Kucancel kwa safari kupo, ila kunapokuwa ni mara kwa mara inakuwa ni tatizo. Wengi wanautumia huo usafiri kwa kuamini kuwa ni usafiri wa haraka. Wengi wanautumia huu usafiri kwa kuhudhuria vikao vyao nyeti, kushiriki biashara zao, kuwahi dharura tofauti tofauti. Endapo usafiri wa shirika hili usipo kuwa wa kuaminika na kutabirika licha ya gharama zake kuwa juu ni dhahiri watu wataanza kufikiria njia mbadala.
 
Fiati

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
1,261
2,000
Poor Management!wanipe Mimi ilo Shirika nilisimamie mtafurahi.Hakuna kitu sikitaki katika maisha yangu kuhairisha mambo kipuuzi.Ofisi nayosimamia wanalijua ilo.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,521
2,000
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye swala la uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 haiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
Sawa, kwahiyo unatakaje sasa?
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,610
2,000
Napenda sana shirika letu la ndege lije kuwa best corporations in africa MFICHA UCHI HAZAI,NINI KIFANYIKE? TUSIJE LEA JINI LITAKALOKUWA LINATUNYONYA DAMU CONTIONOUS...!
 
Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
16,650
2,000
Breakdown ya ndege ambazo tunaambiwa ni mpya imekuwa too much.

Tatizo la hizo breakdown ni nini? Hatuna watalaam wa kuzihudumia? Au labda hazikuwa mpya?
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,610
2,000
TUKAZE MWENDO TUTAFIKA TU ...IPO INGINE INAINGIA DECEMBER.
--»»HERI TUTAFUTE EXPERT TOKA SHIRIKA LILILONAWIRI DUNIANI AJE ATUSAIDIE KUFANYA STADI MAALUMU ON WAT WE CAN DO?TO ARCHIEVES OUR GOALS...
::pia kichwa cha habari hii kingebadilika kikawa "The fall and rise of Atcl.
 
Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,597
2,000
Kucancel kwa safari kupo, ila kunapokuwa ni mara kwa mara inakuwa ni tatizo. Wengi wanautumia huo usafiri kwa kuamini kuwa ni usafiri wa haraka. Wengi wanautumia huu usafiri kwa kuhudhuria vikao vyao nyeti, kushiriki biashara zao, kuwahi dharura tofauti tofauti. Endapo usafiri wa shirika hili usipo kuwa wa kuaminika na kutabirika licha ya gharama zake kuwa juu ni dhahiri watu wataanza kufikiria njia mbadala.
Labda wanakammision ...kama kuna watu walidiriki kufungulia maji kwenye dam(HEP)wanashindwa nini huko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom