The Rise and Fall of Air Tanzania

Ni swala la fedheha inapokuja kwenye uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 usiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash

Hakuna shirika lolote la ndege duniani ambalo halifanyi cancellation kwenye operation zake. Huo ndio tunaita umburukenge. Air Tanzania ipo juu na katika awamu hii itanyanyuka tu kwa sababu Watanzania wengi hivi sasa tunafahamu where we want to be and go.. Kama ungependa ugefanya research kidogo na kuleta comprehensive analysis ya mashirika ya ndege zote zinazo operate Afrika.
 
Wabongo wengi, pamoja na huyu na mnunuzi wa ndege za ATCL wanafikiri usafiri wa anga ni sawa na Musukuma Bus Service ambayo abiria wakipungua safari inaahirishwa mpaka kesho au keshokutwa na muda wote huo wale wachache wenye tiketi wangoje guest house kwa Mangi au Bus Stesheni kwa gharama zao. Mashirika ya wenzetu ikiwa lazima kuahirisha safari au kuchelewesha abiria wataambiwa na kuelewa sababu kwa gharama za Kampuni. Poleni wazalendo ngojeni hata wiki mpaka ndege ijae. Mimi nitasafiri na bus la Musukuma mpaka hapo litakapofia.
 
Kuwa na adabu na upendo kwa nchi yako ukiifanyia usaliti jiandae kwa maumivu yasiyoelezeka.
Uzalendo gani unaongelea hapa? Hakuna watu wanaisambaratisha Taifa Tanzania kama watawala wa awamu ya 5. Ukabila umewajaa, upendeleo wa wazi kwenye maeneo yao ya kuzaliwa ndiyo kipaumbele. Wa Tanzania siyo watu wa kuuawa kwa ajili ya tofauti ya itikadi.

Lakini awamu hii mtu akiwa na itikadi ya chama cha upinzani anaonekana adui. Kweli tulikabidhi nchi kwa washamba
 
Washamba hao hao ndio wanafanya kazi ya kujenga reli ya kisasa, kutandaza umeme nchi nzima.

Wajanja ndio kina Lissu na Zitto,makuwadi wakubwa wa wazungu.
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Kwenye biashara ya ndege ni jambo la kwaida kusogeza mbele muda, kufaulisha au kucancell safalri. Hata mashirika makubwa ya ndege GulfAir, KLM, BritishAirways tena kwenye international route za Amsterdam ni jambo la kawaida! Kuwa mzalendo! Penda vya nchi yako! Kuchelewa masaa tu povu linakutoka! Nyie ndo mnadonoaga nyama za mboga jikoni! Wee utakuwa mara yako ya kwanza kutumia ndege au mpumbavu au kibaraka wa mabeberu! Shenzi kabisa!
Kudonoa mboga ndo inakuwaje mkuu, tuhabarishe nasi tujue, na huko KLM, Amsterdam ulishafika wakati umeonyesha ni mtaalam wa kudonoa mboga jikoni? Mabeberu mnapiga nayo picha yakishawapanda, kama alivyopandwa wa jalalani!!
 
Wabongo wengi, pamoja na huyu na mnunuzi wa ndege za ATCL wanafikiri usafiri wa anga ni sawa na Musukuma Bus Service ambayo abiria wakipungua safari inaahirishwa mpaka kesho au keshokutwa na muda wote huo wale wachache wenye tiketi wangoje guest house kwa Mangi au Bus Stesheni kwa gharama zao. Mashirika ya wenzetu ikiwa lazima kuahirisha safari au kuchelewesha abiria wataambiwa na kuelewa sababu kwa gharama za Kampuni. Poleni wazalendo ngojeni hata wiki mpaka ndege ijae. Mimi nitasafiri na bus la Musukuma mpaka hapo litakapofia.

My goodness me, hivi Mtanzania ambaye hata hana more than 100 hours of travelling by air iwe locally or internationally anaweza kweli kuelewa umuhimu wa kuwa na shirika la ndege? Let alone manufaa na weledi wa kujadili issues? JPM ndiye rais wengi humu wanafikiri amefika pale kwa kubahatisha. Kueni muyaone enyi vijana msiokuwa na nidhamu, tembeeni nchi za wenzenu muone. My friend anaongelea Musukuma Bus Service hiyo ndio experience yake. Another lofa appearing at JF and thinks kila mtu ni lofa kama yeye. Get a life mate!
 
Ni swala la fedheha inapokuja kwenye uendeshaji wa hili shirika. Licha ya kwamba linatafuna mabillioni ya walipa kodi, shirika hili limeanza kuwa majanga

Imekuwa desturi Air Tanzania either ku cancel safari zake au kuchelewa kufika. Leo, Abiria kutoka Mwanza kuja Dar , walipigiwa Simu ku report saa 12 jioni. Matokeo yake reporting ikaanza saa 1.50 jioni. Kama haitoshi,

Badala ya kuondoka saa 2.45 kama walivyoambiwa, Abiria wametangaziwa kwamba , ndege yao itaondoka saa 4.30 usiku. Bila ushindani , watanzania watakoma na hizi nauli kubwa kuliko fastjet na precision. Hii ni dalili tosha kwamba shirika hili haiwezi kufika miaka 5 pamoja na kwamba ndege zote zimenunuliwa cash
Any time cancellation airline,shirika la hovyo sasa duniani,juzi yaani alhamis abiria wa iringa Dar na mbeya dar nao walikiona cha moto.Walioshangilia kifo cha fastjet ni wajinga tu wachache kwenye lile kundi kubwa linaloshangilia kuitwa wanyonge
 
Kwenye biashara ya ndege ni jambo la kwaida kusogeza mbele muda, kufaulisha au kucancell safalri. Hata mashirika makubwa ya ndege GulfAir, KLM, BritishAirways tena kwenye international route za Amsterdam ni jambo la kawaida! Kuwa mzalendo! Penda vya nchi yako! Kuchelewa masaa tu povu linakutoka! Nyie ndo mnadonoaga nyama za mboga jikoni! Wee utakuwa mara yako ya kwanza kutumia ndege au mpumbavu au kibaraka wa mabeberu! Shenzi kabisa!
Wanaccm bwana sijui akili zetu zikoje,unasema ni jambo la kawaida kucancel safari? are you serious?
 
Kwenye biashara ya ndege ni jambo la kwaida kusogeza mbele muda, kufaulisha au kucancell safalri. Hata mashirika makubwa ya ndege GulfAir, KLM, BritishAirways tena kwenye international route za Amsterdam ni jambo la kawaida! Kuwa mzalendo! Penda vya nchi yako! Kuchelewa masaa tu povu linakutoka! Nyie ndo mnadonoaga nyama za mboga jikoni! Wee utakuwa mara yako ya kwanza kutumia ndege au mpumbavu au kibaraka wa mabeberu! Shenzi kabisa!
Endeleeni kuwadanganya kwa ujinga huu,moja ya sababu za usafiri wa anga kuwa expense ni time efficiency,mtu anataka aende mwanza asubuhi afanye mambo yake jioni arudi,sasa wewe unaharibu mipango ya watu then kada mmoja mjinga anasema ni kawaida? waendelee hivyo hivyo uone kama mwisho wa siku hawatabaki na wafanyakazi wa serikali kama abiria wao
 
Haya ni mambo ya kawaida, hapa Dubai tulikuwa tuondoke saa moja na nusu, tukaambiwa saa 2 na nusu hadi sasa bado tunasubiri. Tuwe na ustahamilivu wakati mwengine maalim
Hiyo Dubai ya Iringa..😄😄😄
 
Asante sana! Hugo jamaa ndo Mara yake ya kwanza kupanda ndege! Tens local route in kawaida kabisa! Angekuwa anaenda international flight kama Britain kutumia KLM hata kama safari ingekuwa cancelled usingesikia anabwabwaja hapa! Kosa tu ni kwasababu in ndege zetu za kizalendo! I see! Mshamba Akizoea ataacha!
wewe ndo either mgeni au umejitoa ufahamu tu,kucancel ndege haijawahi kuwa kitu cha kawaida duniani
 
Naam,tena fresh tu man make mnapangishiwa na hotel nyota 3 mpaka mkwee pipa kama no ishu ya muda mrefu.
Hapo ndo ujue kuwa flight cancelation sio kitu cha kawaida na mashirika yenye akili yanalazimika kuingia gharama hizi pale ambapo tatizo lipo juu ya uwezo wao and is once in a while,siyo hii yetu any time cancellation
 
Back
Top Bottom