Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #41
Ni mwelewa,ana nijali,ananipa nafasi ya kunisilikiza,anaijua thamani yangu kwake,
Ni mwepesi kukubali kosa anapokosea na kuapologyze,
Hapendi kuniona sina furaha,huwa nami wakati wa furaha yangu na huzun yangu,
He has unconditional love to me,
It limitless, challangeless Love that embraces me and make happy all the time,
Namwomba mungu amtunze aendelee kuwa hivi hivi mpaka tutakapokuwa mwili mmoja.
Cantalisia hongera sana kama kweli hajakugusa hadi hivi leo.......................maana hiki kizazi bila ya ku-do hakuna maelewano kabisa.........