The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 820
- 2,070
Daaaah,tamu sana!
Mambo yako ya ki gasho peleka kwenu huko,uaani peke yako una mambo ya kicho. Ko humu,sisi wabongo hatunanii wanaume so kama kwenu yapo maliza hukohukoThe bold wakomeshe wakomeshe tu mpaka wakasome kwenye encyclopedia umewazoeza vibaya kuwatafunia Lazima tuheshimiane
Ilisemekana itaendelea leo ,mbona kimya mzee baba tunasubiri madini hayo
Nakumbuka chief ulikuwa moja ya watu wa mwanzo kabisa kunishauri nianze kulijenga jina langu halisi badala ya 'alias'.Binafsi niliwahi kukushauri hili mkuu. Habibu B. Anga anapaswa kuwa mkubwa kuliko The Bold. Jina lako halisi ndilo linalopaswa kubeba heshima inayotokana na kazi zako,na ndilo linalopaswa kuingia katika vitabu vya historia kwa ajili ya kizazi kijacho. Wewe ni mwandishi wa kiwango cha juu mkuu,natamani sana kalamu yako ikufikishe katika levo za juu kabisa za mafanikio katika ukwasi na utukufu!
Shukrani chiefDuuh, uko vzr
Asante sana chief... i'm humbledsijapata kusoma machapisho yanayonisisimua km haya yako The Bold .. hajapata mwandishi wa kitanzania akanipa faraja kama wewe..
Ushauri mzuri chief... nashukuruMkuu H.Hanga, naomba nikushauri kwamba habari hii iweke kwenye kitabu ili iendelee kuwepo kwa muda mrefu na kusomwa na vizazi vijavyo, naomba kuwasilisha.
Chombo tayari kwa hewa chiefIlisemekana itaendelea leo ,mbona kimya mzee baba tunasubiri madini hayo
Bila shaka chiefAsante sana Chifu Habibu B. Anga, uko vizuri...Naomba usichelewe kutupia sehemu ya nne