The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

Tuna Mali nyingi CCM INAWATAFUNA NJAA NI KALI KWELI UMASKINI WA KUFA ET TUNA AMANI SEMA MNA UTULIVU HAKUNA AMANI PENTE UMASKINI HAYA NIMEMALIZA MZEE WA KULIPWA KISHIKA UCHUMBA CHA MAKINIKIA.always Proudly Rwandese.Go east or West Rwanda is the Beast not the Best
Maneno yenu mdomoni tu Moyoni mmejaa chuki na visasi vya kila aina nafikaga Kigali Sana tu huo beast wenu unaojivunia wewe Kama mrwandese Ni Nini hasa, wanyarwanda tegemelezi lenu Ni kilimo na ufugaji, maisha Bora mtayapatia wapi.....Kama Kuna maisha mazuri mbona ndugu zenu wanaingia kila siku Tanzania na nchi zingine huko ughaibuni kutafuta maisha na Uhuru wakufanya atakalo....wanyarwanda mnaishi Ni Kama mko jela tu taka usitake huo ndo ukweli, jivunieni wizi wa Mali Asili za Congo....
 
Asante sana chief, naomba unitag next post. Pole pia kwa changamoto unazokutana nazo...!!!
 
Hiyo picha ya Kagame yupo na mzungu gani huyo? Sura ya huyo mzungu sio ngeni
 
Back
Top Bottom