Hizo torrents hata mimi huwa zinanizingua jaribu hii link tumia IDM Multiupload.nl - upload your files to multiple file hosting sites!Daah mi kwangu sijui tatizo ni network au ni aina ya simu nnayotumia.
Episode ya kwanza nimetumia zaid ya masaa 12, tena sim haikuwa busy kabisa mana nilitumia line mpya na kifurushi cha kutosha.
Episode ya 2, sikumbuki ilitumia muda gan lakin ni masaa mengi sio hizo dk tatu
Na sasa ni Episode 3, toka saa tisa mpaka sasa bado, imedownload 20%.
Huwa naDownload kwa kutumia sim then ndo naweka kwenye PC / Watching
Ni mara yangu ya kwanza kutumia hii kickassTorrent
Daah mi kwangu sijui tatizo ni network au ni aina ya simu nnayotumia.
Episode ya kwanza nimetumia zaid ya masaa 12, tena sim haikuwa busy kabisa mana nilitumia line mpya na kifurushi cha kutosha.
Episode ya 2, sikumbuki ilitumia muda gan lakin ni masaa mengi sio hizo dk tatu
Na sasa ni Episode 3, toka saa tisa mpaka sasa bado, imedownload 20%.
Huwa naDownload kwa kutumia sim then ndo naweka kwenye PC / Watching
Ni mara yangu ya kwanza kutumia hii kickassTorrent
sina uzoefu sana na internet ya hii mitandao, mara zote me natumia wireless internet na speed ni zaidi ya 2MB/sec.
Jaribu kuweka kwenye pc kwa modem then uone kama itaongeza speed, zaidi itakuwa ni mitandao tu ya simu ndo shida. Ila kama mwisho wa siku unaipata we endelea tu na hilo zoezi
Duh! mi natumia torrent mobile, yaani 1hr tu mzigo ushashuka
hiyo inapatikana play store? Vip ep ya 4 inatoka lini?
Ipo playstore,just look for uTorrent, episode 4 mpaka next monday
Kuna watu huwa wanasema Prison Break inaishinda 24, ntaendelea kuwabishia siku zote, hakujawahi kutokea ya ukweli kama 24, ingawa ya sasa wanasema season 09 moja itakuwa ni episode 12 tu na itakuwa inaruka ruka kidogo masaa si masaa 24 tena kama mwanzo, nategemea hata hii itabamba
The best series nilizoona
Prison break
24
Lost
One Tree Hill
The Unit
Hawaii 5-o
Covert Affair
Nikita
Heroes
Revolution
Crisis
Blacklist
Scanda
Na zingine mingi...
mkùu haya mambo yanategemeana sana na taste ya mtu kwahiyo ucshangae! mathalan, watu wanai-feel sana Game of Throne lakin mie ilinishinda kumaliza hata episode ya kwanza! Abt PB, u're right, umaliziaje wake unaonesha kabisa kwamba wali-force... they didnt care anymore!tangu lini prison break ikaishinda 24 aisee?? prison break ikishafika mbele mbele inaanza kuboa na kupoteza utamu wa stori aisee maana ilirefushwa sana aisee
mkùu haya mambo yanategemeana sana na taste ya mtu kwahiyo ucshangae! mathalan, watu wanai-feel sana Game of Throne lakin mie ilinishinda kumaliza hata episode ya kwanza! Abt PB, u're right, umaliziaje wake unaonesha kabisa kwamba wali-force... they didnt care anymore!
Guys season9 episode 3 is out
Jack never dissapoint me
link mkùu!
probably you said it right mkuu
Sorry Niko busy but go to either kat.pH or extratorrent.com then search 24 s09 e03
Mi personally nimesownload kat.pH maana hua inawaha kuwekwa huko kuliko extratorrent.com
thanx mkùu, nd even more thx with kat.pH... nilikuwa siifahamu hii!
thanx mkùu, nd even more thx with kat.pH... nilikuwa siifahamu hii!