The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.

kuna ile season ambayo Cheng alimkamata Bauer for the first time… alimwambia… Mr. Bauer the chinese government has a very Long memory…. huwa napenda sana hii quote…. VIVA 24!!!!!!!!!!!!
 
6 Tayari, yani naumia kweli kuangalia moja moja, natamani nizishushe zote then siku moja nikae nizichek, but dah!! uttorent ikiniambia tu imemaliza kudownload, hata kama niko ofisini, taratiiiiiiiiiibu natupia phone zangu masikioni, nacheki mzigo, huku mapigo yakienda mbio jinsi dakika zinavyoyoma
moyo huwa unanipwita kishnz dakika zinavoyoyoma kwenye 24
 
Kabisa, na jack akisikia audrey ametekwa itakuwa disaster

sitarajii mengi sana kwenye just one episode left , labda wakiextend hizo episodes.......

utamu ungenoga sana km jack angepata muda zaidi , si umeona hata matukio ya nyuma wameyekimbiza mno ukilinganisha na 24 tulizozizoea (kitu kinawekwa mtego kumbe target ni kingine kabisa). Hii visa vimefupishwa fupishwa na kumalizwa haraka.
 
mkuu una mawazo kama yangu hii 24 ilikuwa inatakiwa ipate season kama mbili extra tena za episode 24 maana hii ngoma ilipofikia ni kwamba hizi episode 12 zitaisha na kuacha maswali kibaoooo watu wakitaka iendelee wangewapa jamaa airtime zaidi ili wafanye mambo aisee
 
inawezekana ishu ni mkwanja.........

mara nyingi hizi tv series wanashindwa kuzimalizia kwasababu ya ukosefu wa fedha,,,,,,,,, ila kwa jinsi inavyokuwaga kumpata tu huyo margot alharaz ingekuwa utata mtupu........
 
sitarajii mengi sana kwenye just one episode left , labda wakiextend hizo episodes.......

utamu ungenoga sana km jack angepata muda zaidi , si umeona hata matukio ya nyuma wameyekimbiza mno ukilinganisha na 24 tulizozizoea (kitu kinawekwa mtego kumbe target ni kingine kabisa). Hii visa vimefupishwa fupishwa na kumalizwa haraka.

Inaishia 12 mkuu, confirmed
 
Hata hivyo, what I don't like about Jack ni kwamba he's too emotional to people he cares! Thanks God, Kim now is an old woman though am afraid na affection kwa mjukuu wake... mapenzi ya Jack kwa Kim mara kwa mara yalikuwa yanakaribia ku-jeopardize entire mission! Kutokana na kuwa too emotional to people he cares, Jack turned to be hooligan in Season 8 baada ya kuendesha reckless revenges to all people caused in one way or another the death of that FBI Agent... the woman expected to make Jack happy!
NasDaz siku zote tambua mapenzi ni emotional...na yanaweza kumfanya mtu atende kile ambacho hukutarajia...katika hii episode Jack alikuwa kama nyati mwenye vidonda kumbuka mwanzoni kabisa amempoteza mama Kim...sasa hapa amepata kitulizo nacho wameki~brow... unafikiri angewezaje kuwa mpole...but in general hii tamthilia cjawahi kuichoka wala haitakaa iniboe...
 
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi ilivyomalizikia nahisi kwa siku za mbele itakuja kuendelea tena.
 
sitarajii mengi sana kwenye just one episode left , labda wakiextend hizo episodes.......

utamu ungenoga sana km jack angepata muda zaidi , si umeona hata matukio ya nyuma wameyekimbiza mno ukilinganisha na 24 tulizozizoea (kitu kinawekwa mtego kumbe target ni kingine kabisa). Hii visa vimefupishwa fupishwa na kumalizwa haraka.
kama ulivyosema imeish kidizaini fulani na vitu vimeenda fasta ...dag ila hasira ya Jack baada ya kusikia Aundre kadanja amemchinja cheng chi kwa jambia
 
Kwa jinsi ilivyomalizikia nahisi kwa siku za mbele itakuja kuendelea tena.
Ni jambo la kawaida sana kwenye series kutoa kitu halafu wanategea response ya audience ili kama waendelee au vipi na ndio maana hata katika kuanza kurusha series, nyingi zinaanza na Pilot episode kwahiyo don't worry guys, lazima itarudi tu in full.
 
Back
Top Bottom