Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
My instincs tells me that jack lazima amle huyu dem sababu anapenda madem ngangari sana
Sidhani kama jack yupo romantic hivyo
My instincs tells me that jack lazima amle huyu dem sababu anapenda madem ngangari sana
Sidhani kama jack yupo romantic hivyo
Unamkumbuka renee?season 8
Na Audry itakuaje?
Sipati picha siku Jack akimtia mikononi Cheng... lazima a-empty magazine kwake!The Most Jack's enemy
MR. BOOWAA (in Cheng's Voice)
My instincs tells me that jack lazima amle huyu dem sababu anapenda madem ngangari sana
Jack akima Kate lazima nitam-mind coz' yule demu mi namtaka mjue!Yes na sio tu amle, mimi nataka amle
Nashawishka kuamini kwamba, baada ya muda au Season zitakazofuata, watarudisha episodes 24. Ni jambo la kawaida sana kwa series kurusha vitu nusu nusu kwa ajili ya kusikilizia maoni ya watazamaji. Wakiona kuna audience ina-respond positively, wanamalizia mzigo.Kama itaishia episode ya 12, itakuwa imeacha maswali mengi ambayo hayajajibiwa. Nadhani kutakuwa na season 10 njiani
Let me do what i know how to do
I am not an American and this is not America Yan hii balaaa n especially Whats ur name Bijkev, what is ur other name?I am having one name like Madona
Sahivi bauer amekaza sana sio kipindi kile alikuwa ana kamoyo cha kupenda
Jack akima Kate lazima nitam-mind coz' yule demu mi namtaka mjue!
What's yo name"belchek"
Belcheck who?am having one name like Madonna
give me the phone I will tell secret service to come and pick me"jack said no phones"
I am the president of united states and I have just given u an order"I am not american and this is not america"
Presidaaa akaona duuu jamaa noma
Hiyo balaa kaka na President nae akaona hamna haja ya kubshana nae mana anamjua Jack alivo na watu wake walivo
Wale wenzangu na mm episode 11 is out
Karibuni au niwasimulie?hahahahahha
Hanna mikazo yyte
Sio kwa mbu hukumbuki pale Audry kapeleka kichwa mchizi pumzi milioni/mbiombio?nomaaa