The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Trust me, hii kitu inachomoka hadi episode ya 24.

Wa-russia wameingia

Wa-china wameingia

President hajaondoka UK

Vice President hajapewa madaraka

Aliegundua 24 ni nyo.koo

Aahh hapa Bauer kabla hajafika kwenye device tayari ka-engage in shootings na Russians ila hajajua kama ni wenyewe, Fox wataharibu sana,yaani haya yote yawe resolved within 2 episodes?? olooolooo
 
Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.

Hehehehehhehe yaaan sipatii hata picha alichomfanya jack ataona kawaida il a alichomfanya Audry jack atalipa aisee
 
Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.
Nimecheka sana pale anamwambia chloe..."miss obrian, you are a long way from home"
 
Nimemaliza kuiangalia sshv, china lazima wata Retaliate vibaya sana,,mithili ya WW3!!

Unadhani events zote zitamalizwa ndani ya episode mbili??

Bauer anatakiwa kujinasua kwa warussia, wachina itakuwaje??

Au wanataka kutoa season ya 10??
 
Aahh hapa Bauer kabla hajafika kwenye device tayari ka-engage in shootings na Russians ila hajajua kama ni wenyewe, Fox wataharibu sana,yaani haya yote yawe resolved within 2 episodes?? olooolooo

FOX wanataka waharibu sequence nzima.

Wangeweka zilezile 24 tu
 
Daahh kweli 24 iache iitwe 24, kama nlivyosema mwanzo hii kitu ina soo many suprises, CHENG-ZI?? yaani sikua hata nawaza kama hili jamaa lita-pop up tena, safari hii Bauer atamfanya vibaya sana.

Mbaya zaidi President Heller hajui chochote

Akiambiwa suprise zote zile atapata mshtuko wa moyo

Amesababisha chaos england, mara russians, mara china

Hajajua chief of staffs alifoji signature yake ila Bauer akamatwe kisa Audrey

Kweli bauer hana sikukuu
 
FOX wanataka waharibu sequence nzima.

Wangeweka zilezile 24 tu

Kuna siku Marylin Rajskub "Chloe" alipost link kwenye Official facebook page yake ikisema "24LAD may not be the end of 24"
Kwa series hii ya haya matukio naanza kusikia harufu kabisaaa kuwa there's much more coming, ngoja niitafute ile Link nione ilikua na nini hasa.
 
Siku zote huwa nakataa na nitaendelea kukataa kuifananisha 24 na PB. Bonge la TV series.
 
Unadhani events zote zitamalizwa ndani ya episode mbili??

Bauer anatakiwa kujinasua kwa warussia, wachina itakuwaje??

Au wanataka kutoa season ya 10??

Wananiudhi yaaan sijui hata kwann wasitoe hata episode mia aaaah
After all ndo TV program inayoongoza kwa mauzo
 
Nimecheka sana pale anamwambia chloe..."miss obrian, you are a long way from home"

Hapo tu?je majibu ya jack kwa yule delugated officer Wa CIA na kwa traitor je?
To be clear I was not asking that was me being nice
Au the full immunity is not on the table but your hands are
hahahahah
 
Mbaya zaidi President Heller hajui chochote

Akiambiwa suprise zote zile atapata mshtuko wa moyo

Amesababisha chaos england, mara russians, mara china

Hajajua chief of staffs alifoji signature yake ila Bauer akamatwe kisa Audrey

Kweli bauer hana sikukuu

Lakini season za nyuma ile ya Logan akiwa rais heller(wakat huo secretary of state) alimwambiaga jack u r cursed
 
Wananiudhi yaaan sijui hata kwann wasitoe hata episode mia aaaah
After all ndo TV program inayoongoza kwa mauzo

Am sure baada ya kumaliza hizo episodes 12 watu watatukana sana. Watakuwa wameharibu dhima nzima ya neno 24
 
Kuna siku Marylin Rajskub "Chloe" alipost link kwenye Official facebook page yake ikisema "24LAD may not be the end of 24"
Kwa series hii ya haya matukio naanza kusikia harufu kabisaaa kuwa there's much more coming, ngoja niitafute ile Link nione ilikua na nini hasa.

Ngoja nicheck mkuu
 
Hapo tu?je majibu ya jack kwa yule delugated officer Wa CIA na kwa traitor je?
To be clear I was not asking that was me being nice
Au the full immunity is not on the table but your hands are
hahahahah

Hii sehemu nilirudia mara 3 na zaidi, sikuamini jack anaweza kusema hivi
 
Back
Top Bottom