[TABLE="width: 100%"]Yan kama prezida kafa, yan aundrey hatampenda tena jack bauer, but i believe in chloe najua atakua tu amefanya yake, yan season 8 nilikuwa naichek huku mapigo yanakwenda mbio dah!
Sidhani kama President kafa, nadhani Chloe aliweza kuingia kwenye system ya zile drones na kurudisha picha nyuma ili kumzuga yule mama, na kwa sababu Jack alikuwepo pale alimchukua raisi, pia kama ni mfuatilaji mzuri wa 24 ikitokea tukio kama lile la kufa raisi mlio wa saa usingesikikia yaani kungekuwa na ukimya pale mwishoni. Swali ni Je yule mama ataziharibu drones kama walivyokubaliana na raisi na kama akjiua raisi hakufa itakuwaje?[TABLE="width: 100%"]
[TR="class: 3, bgcolor: #E3E3E3"]
[TD="class: episode"]Next Episode: 9. Day 9: 7:00 PM-8:00 PM[/TD]
[TD="class: mnllinklist, align: right"]S09E09 / Air Date: 23 June 2014[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E3E3E3"]
[TD="class: episode, colspan: 2"](Scheduled to Air: 23 June 2014)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sidhani kama President kafa, nadhani Chloe aliweza kuingia kwenye system ya zile drones na kurudisha picha nyuma ili kumzuga yule mama, na kwa sababu Jack alikuwepo pale alimchukua raisi, pia kama ni mfuatilaji mzuri wa 24 ikitokea tukio kama lile la kufa raisi mlio wa saa usingesikikia yaani kungekuwa na ukimya pale mwishoni. Swali ni Je yule mama ataziharibu drones kama walivyokubaliana na raisi na kama akjiua raisi hakufa itakuwaje?
Yan kama prezida kafa, yan aundrey hatampenda tena jack bauer, but i believe in chloe najua atakua tu amefanya yake, yan season 8 nilikuwa naichek huku mapigo yanakwenda mbio dah!
hiyo tiketi ya jack kumpt audrey. mme wa audrey kajiingiza kwenye msala utakaomgharim sn na waruc atafukuzwa kazi tu na mke atakosa tu. heller atamsave jack asichukuliwe na waruc? bado hakuna majibu....tuendelee ku-gues hapa
Hivi kwanini rais yupo uingereza kipindi chote hiki? Kwanini asirudi washington?
I've a reason to believe that President Heller is not dead from that missile, because at the time he was surrendering himself to Margot at Wembley stadium, Chloe was working on the hard drive that was found at Margot's apartment which was containing some encrypted information of the stolen drones. Which means she might have done something to control the drones while Margot fired one of the Missile to the stadium where Heller was standing. I think the drone didn't hit wembley instead it destroyed somewhere else.
Epsode 7 nipoa ila maza kalipua hospital ni noma lakini jack anakaribi kushinda mission ila rais kama anataka kuwavuruga maana kajisalimisha kwa maza na kamuita jack sasa sijui epsode 8 atamwambia ninitusubirie nahisi atamwambia mission achana nayo dah
Hey guys natafuta group inayozungumzia mambo ya muvi na series, my whatsapp # is +255762243055
Sasa no 8 President James amejipeleka mwenyewe Wembly kwa Magreth Al-Haraz na haraz kamlipuna na drone lakiini alisha jiuzuru uraisi na Jack ndo kampeleka na sijui hiyo 9 itasemaje au madaraka yataenda kwa makamo wa rais i don't know!Wakat unawaza hayo u forgot about one thing
Jack and Heller worked and blv in each other much kuliko MTU mwingine yyt
Wao ndo walimfanya hadi president Logan akaachia madaraka
Is a team that have survive mengi mpaka sasa plus audry
Sasa no 8 President James amejipeleka mwenyewe Wembly kwa Magreth Al-Haraz na haraz kamlipuna na drone lakiini alisha jiuzuru uraisi na Jack ndo kampeleka na sijui hiyo 9 itasemaje au madaraka yataenda kwa makamo wa rais i don't know!
Yupo ziarani kuomba kuungwa mkono and in fact is the beat way if he stays there maana of he leaves he will be shot easily
She got drowns remember?
Sasa no 8 President James amejipeleka mwenyewe Wembly kwa Magreth Al-Haraz na haraz kamlipuna na drone lakiini alisha jiuzuru uraisi na Jack ndo kampeleka na sijui hiyo 9 itasemaje au madaraka yataenda kwa makamo wa rais i don't know!
Mkuu kumbuka 24 ni masaa tu ndio kwanza tunaingia jioni presidaa bado hata hajamaliza siku uingereza.. "event occur in real time" in jackie's voiceHivi kwanini rais yupo uingereza kipindi chote hiki? Kwanini asirudi washington?
Dah, inamana NSA wameshindwa kuzitrack hizo drones?
Trust me and mark my word mkuu there is no point pale the presidaa akalipuliwa itakua mambo aka michezo ya chloe tu na trust me madam al-haraz akigundua vita itakua Mara mbili yake