The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Sasa kamua raisi je drone atazizima??

Guys there is no point ya kumuua rais hakutakua na umuhm Wa collabo ya jack na Chloe
It obvious Chloe kaihijach the drone na haijalipukia pale so either way ni lazima el haraz atagundua na pia itakua vita kubwa zaid
No way presidaa kufa trust me
 
U don't listen mkuu
Kuna sehem presidaaa aliuliza the same question akajibiwa na mkuu Wa majesh?
The draws are untraceable

Nilisikia mkuu, ila dah, nasikia zinatoka 12 tu

Kwanini wasifanye kama ni opera??
 
Mkuu kumbuka 24 ni masaa tu ndio kwanza tunaingia jioni presidaa bado hata hajamaliza siku uingereza.. "event occur in real time" in jackie's voice

Kweli nimesahau mkuu, kuna watu wanawaza aisee
 
Guys there is no point ya kumuua rais hakutakua na umuhm Wa collabo ya jack na Chloe
It obvious Chloe kaihijach the drone na haijalipukia pale so either way ni lazima el haraz atagundua na pia itakua vita kubwa zaid
No way presidaa kufa trust me
No kwani pale Presidaa alipoenda Jack B uwanja wa wembley na Al haraz kushika Jockey steak na kubonyeza button anakumlipua rais ina maana pale rais hakufa??Pls niweke sawa other wise niiangalie upya!
 
It is According to the 24LAD Official Facebook Page, I don't know what actions for sure but in the next few hours to come we'll all gonna find out...

Probably ni sababu hazitoki episode 24
so hz tatu zinazokuja mtiti sana jack na el haraz plus jack na russians
 
No kwani pale Presidaa alipoenda Jack B uwanja wa wembley na Al haraz kushika Jockey steak na kubonyeza button anakumlipua rais ina maana pale rais hakufa??Pls niweke sawa other wise niiangalie upya!

Nadhan hujanielewa mkuu
Sio 100% kwamba hajafa but we blv so sababu tayari choose an a control drawn kadhaa so probably ule ni mchezo Wa Chloe na jack but presidaa is not dead I guarantee u
 
Mhn kweli? Haya nasubiri kwa hamu kama walimdanganya Al haraz mwendeshaji wa divice lazima amle nyama kwa kumsitch
 
No kwani pale Presidaa alipoenda Jack B uwanja wa wembley na Al haraz kushika Jockey steak na kubonyeza button anakumlipua rais ina maana pale rais hakufa??Pls niweke sawa other wise niiangalie upya!
Pale hajafa... am certain Al haraz kafanya vile ili kuwa-divert CIA na wengine wote watakaokuwa after Mr. President!!! Kwa hasira alizonazo yule mama, asingeweza ku-opt kumpa kifo cha upendo namna ile... lengo lake pale ni kumtia mikononi huku timu ya akina Jack wakiamini ameuawa!! Hadi wanagundua hakufa kwa drone, jamaa watakuwa wameshatokomea nae... ibaki kazi ya kumsaka... probably they want him alive for next trade and use him as a leverage!!! Hebu pata picha Al haraz akiamua tu kutaka kumdhalilisha na kumlazimisha atoe speech kuomba msamaha kwa "ugaidi unaofanywa na US" na mauaji ya mume wake!!!!
 
Nadhan hujanielewa mkuu
Sio 100% kwamba hajafa but we blv so sababu tayari choose an a control drawn kadhaa so probably ule ni mchezo Wa Chloe na jack but presidaa is not dead I guarantee u
It's 100% hajafa... i believe ile drone ni kutoka kwa yule mama ili ku-divert attention ya akina Jack watakaozani President amekufa!!
 
Unajua ile scine imeonyesha kwa al haraz upande wa wa jack hijaonyesha mlipuko hivyo I have no comment mpaka nione taaruki ya Jack
 
Pale hajafa... am certain Al haraz kafanya vile ili kuwa-divert CIA na wengine wote watakaokuwa after Mr. President!!! Kwa hasira alizonazo yule mama, asingeweza ku-opt kumpa kifo cha upendo namna ile... lengo lake pale ni kumtia mikononi huku timu ya akina Jack wakiamini ameuawa!! Hadi wanagundua hakufa kwa drone, jamaa watakuwa wameshatokomea nae... ibaki kazi ya kumsaka... probably they want him alive for next trade and use him as a leverage!!! Hebu pata picha Al haraz akiamua tu kutaka kumdhalilisha na kumlazimisha atoe speech kuomba msamaha kwa "ugaidi unaofanywa na US" na mauaji ya mume wake!!!!
Ndio naangalia hapa ntakupa yaliojiri
 
Guys there is no point ya kumuua rais hakutakua na umuhm Wa collabo ya jack na Chloe
It obvious Chloe kaihijach the drone na haijalipukia pale so either way ni lazima el haraz atagundua na pia itakua vita kubwa zaid
No way presidaa kufa trust me
Rais hajafa kudadeki kama ilivyo Cloe alicheza na drones ila mama kagundua mchezo kabaki ameshangaa ila anajitahidi akontrol drone moja iliobaki
 
Mama Alharaz amecontrol drone moja na anailekeza kwenye station ya train kuua maelfu......
 
Back
Top Bottom