Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Habari wakuu,
Samaani naomba kuuliza ilikuwaje jack akanza kutafutwa na Russian na wamarekani wenzaka na ipo kweye season pi sababu mm nimeona ya mwisho jack anaachiwa atoroke na madam president naoba kujua season ya mwisho ilishia wap,sababu alibaba na hizi dvd zaka anatupoteza sana
haaahaahaa hicho kipande ni kizurii sana alicho-act Tony amelda hope watu wengi walishangaa...kwa nn alibadirikaaa
yote ilikuwa ni njia ya kumpata mtu ambaye yupo behind the murder of Michelle (mke wa almelda)
kickass.com....@torrent
episode 5 tayari
Habari wakuu,
Samaani naomba kuuliza ilikuwaje jack akanza kutafutwa na Russian na wamarekani wenzaka na ipo kweye season pi sababu mm nimeona ya mwisho jack anaachiwa atoroke na madam president naoba kujua season ya mwisho ilishia wap,sababu alibaba na hizi dvd zaka anatupoteza sana
Nasubiri episodes zote sina haraka!
kamanda kickass.to naweza kudownload movies bure??
kamanda kickass.to naweza kudownload movies bure??
Mapenzi kati ya jack na audley naona bado yapo.
Cheaf of staff ambaye ndo mume wa audley anahofia kupokonywa tonge na jack ndo maana alimuru cia wamuue jack.
Hiko season 9 episode 6 ni shydeeer
Hata hollywood hawajaona episode 6 kaka
We umeitoa wp?
labda anaangalia zile dvd za alibaba ambazo season 8 alii-partition akaipa season9 mpaka 11 mwizi yule
Hata hollywood hawajaona episode 6 kaka
We umeitoa wp?
Mkuu imetoka maana mimi nimefika 5 hiyo sita imetoka nimejaribu kicks sijapata lakini katika mitandao niliyosoma ipo
episode 5 tayari