The power of Love...

This is too personal to expose it in public,

not too personal, nimekuquote hapo juu kuna sehemu umesema anayekuanza siyo lazma awe first lover, mhh hii inakuwaje? unaweza ku do na mtu hata usiyekuwa na mahusiano naye?
 
Inatokea tu,wala haipangwi vipi uanze na vipi iishe,yaani siyo kama music,ama movie..

hebu tuweke sawa, ili niamini kuwa power of love haijengwi kwa kusex....
 
Inawezekana ama isiwezekane inategemea na mtu na mtu.
not too personal, nimekuquote hapo juu kuna sehemu umesema anayekuanza siyo lazma awe first lover, mhh hii inakuwaje? unaweza ku do na mtu hata usiyekuwa na mahusiano naye?
 
Nadhani hapa ndo tunapozungushana mie nazungumzia,mapenzi yaliyojawa na power of love,ambayo yanapelekea vitu vingine pia kuwepo,mojawapo ni hiyo hotsex ..
first time without virginity?
au ni tofauti..
au sijaelewa maana ya hot sex?
 
Nadhani hapa ndo tunapozungushana mie nazungumzia,mapenzi yaliyojawa na power of love,ambayo yanapelekea vitu vingine pia kuwepo,mojawapo ni hiyo hotsex ..

kwa hiyo wewe unaamini power of love inaweza kujengwa na hot sex?
 
hivi making of love to the hot state, kunasababishwa na,upendo au just mautundu tu?
 
Vyote tu,ukiwa crazy kwa mtu hata utundu unajiongeza,
ila ile ya kuforce hamna upendo muda mwingine inaboa,
hivi making of love to the hot state, kunasababishwa na,upendo au just mautundu tu?
 
Power of love inaweza kupelekea hotsex na siyo hotsex kujenga power of love.

mhh hapo kinaanza kipi? kumbuka umesema wewe na mpenzi wako mlianza kama marafiki nguvu ilikuwa si kubwa, ila mlivyoanza mapenzi nguvu ikaongezeka zaidi.
hapo unaonaje kama siyo sex imecoz power of love kuongezeka..

afu umesema kwa sasa unapenda kwa mazoea tu! why? uliyempenda kwa dhati alikutenda?
 
kiwatengu kuingia kwenye mahusiano haimaanishi ndo kuanza sex ila kunakua na ushirikiano zaid ya mnapokua marafiki,
napenda kwa mazoea kutona na kutokupata mtu aliyeupokea upendo wangu kama yule wa mwanzo,
wala hajanitenda nisimsemee uongo mkaka wa watu,
"i'll always miss you papa G".
 
Last edited by a moderator:

so wewe ndiyo ulimtenda? sorry au hayupo tena?

hili swali hujanijibu..ndiye aliyekuvirginate?
 
Last edited by a moderator:
Sijui kama yupo au hayupo,ila ilitokea tatizo la mawasiliano,sijui na nini kilitokea tukawa tumetengana.
so wewe ndiyo ulimtenda? sorry au hayupo tena?

hili swali hujanijibu..ndiye aliyekuvirginate?
 
Na je hii kupenda kwa mazoea uliyo nayo sasa je ni kwa sababu yakupoteza penzi lako la kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…