Unalala chumba kimoja na mchumba wako?nimetafuta sana kazi bira mafanikio tukaamua mimi na mchumba wangu tuwe tuna amshana saa9 usiku kwa maombi maalum,ndugu zangu Mungu kajibu haraka nimeitwa kama sehemu tatu amakweli binadamu anateseka kwa kukosa maarifa kidogo,try the power of lord
Unalala chumba kimoja na mchumba wako?
Unalala chumba kimoja na mchumba wako?
nimetafuta sana kazi bira mafanikio tukaamua mimi na mchumba wangu tuwe tuna amshana saa9 usiku kwa maombi maalum,ndugu zangu Mungu kajibu haraka nimeitwa kama sehemu tatu amakweli binadamu anateseka kwa kukosa maarifa kidogo,try the power of lord
thats true,ilikuta hali hiyo,niligraduate 2011,2012 nikaona hola,2013 hola hamna tempo,volunteer or internship,jan 2014 nikatenga siku 10 za maombi ,3kati ya hizo nilifunga,ndani ya mwezi huo niliitwa kwa aptitude test,oral interview na mwezi huo huo nilipata ajira,tuongeze maombi!
Siku hiz kuna simu kijana. A cha fikra finyo.Unalala chumba kimoja na mchumba wako?
Siku hiz kuna simu kijana. A cha fikra finyo.