The Poorest Countries in the World

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,080
10,037
The Poorest Countries in the World (2019-2023)

1600376005780.png
 
  1. Liberia (GNI per capita: $710)
  2. The Central African Republic (GNI per capita: $730)
  3. Burundi (GNI per capita: $770)
  4. The Democratic Republic of the Congo (GNI per capita: $870)
  5. Niger (GNI per capita: $990)
  6. Malawi (GNI per capita: $1,180)
  7. Mozambique (GNI per capita: $1,200)
  8. Sierra Leone (GNI per capita: $1,480)
  9. Madagascar (GNI per capita: $1,510)
  10. Comoros (GNI per capita: $1,570
THIS IS A REAL DATA NINACHOJIULIZA KWA NINI SOMALIA HAIPO

The only country that did not make it onto both lists is the African country of Zimbabwe. All the other twenty-four poorest countries are also third world countries, which goes to show that the two characteristics do have some common ground between them. If you think about it, money is not everything, but it does allow for a basic level of upkeep. As unfortunate as it is, everything in the world needs money to uphold a certain level of care and maintenance.

Money is not solely for elaborate funding or exuberance. The hardest part about a world that revolves around money is that it becomes a necessity, to the point where countries cannot sustain a permanent state of cleanliness, invest in industries that could help the country flourish, or develop specific attributes that would elevate a developing country to a place of prosperity. It takes an awful lot of time, energy, and money to raise a country from the ground up, and without a national budget that is reasonable, countries fall short of funding.

The physical location of a country also has a lot to do with the wealth -- as well as the lack thereof -- of a country. The reason for this pulls the aspect of underdeveloped governments, systems, and infrastructures in a country into play. See, the financial status of a country has nearly everything to do with a nation’s GDP or gross domestic product. This is a value that correlates to the monetary value of a country’s goods, services, and products over the course of a year.

So the GDP of every country is calculated annually, and it is very similar to credit scores in a sense, albeit on a much larger scale. Still, the GDP of the nation has the potential to severely mess with a country’s future, as does a poor credit score for people like you and me. The gross domestic product of a country is such a substantial influential factor, and a weak GDP can do quite a load of damage to a country’s economy. When a country has a low GDP value, other nations do not revere the low-ranking country as worth doing business with at any level.

This has been the cause of great division between countries because it starts to create a sort of divide between countries with impressively high GDP values and countries with GDP values that are everything but admirable. It is rather unfortunate, mainly because this outlook makes it that much harder for countries with low GDP values to make a comeback. If you have ever experienced the downward spiral of credit card debt and lower-than-preferred credit scores, then the GDP might register with you on a level that is easier to understand from that perspective.

Here are the twenty-five poorest countries in the world, alongside their most recent gross domestic product values. There are technically three different GDP values for each country, and the reason for this is that three separate organizations release lists that rank countries by GDP values based on their own calculations. These organizations are as follows:

  • The International Monetary Fund
  • The United Nations
  • The World Bank
 
Dunia inashuhudia upinzani wa ajabu kuwahi kutokea.

Kulitakia mabaya Taifa na kulisema vibaya ndio akili na uzalendo kwa wapinzani hapa nchini.

Sasa Kama Taifa letu ni baya namna hii, kwanini mnahangaika tuwape uongozi.
Mabaya ni kuuana, kutekana, kubambikia watu makesi ya uongo, kunyima watu maendeleo kwa sababu walichagu mgombea asiyependwa na Rais.
 
Dunia inashuhudia upinzani wa ajabu kuwahi kutokea.

Kulitakia mabaya Taifa na kulisema vibaya ndio akili na uzalendo kwa wapinzani hapa nchini.

Sasa Kama Taifa letu ni baya namna hii, kwanini mnahangaika tuwape uongozi.
Tupeni ili tuliinue taifa, haki huinua taifa bali uovu ni aibu ya watu wote
 
SAFI SANA KWA TANZANIA KUWEPO KWENYE IYO LIST. Ukimuona Jiwe anavyorukaruka hapa na pale huku akizurura na maV8 utadhani taajiriii kumbe ni at taxpayers and donors expense.

So sad!
 
Tanzania si imetajwa kuwa katika uchumi wa kati wa chini? How comes ni among the poorest?
Soma hiyo "link" ya taarifa kujua maana ya Tanzania kuwekwa kwenye nchi maskini duniani. Inaeleza

Matarajio ya kiuchumi kwa Tanzania kukua yanategemea uwekezaji katika miundombinu, kuboresha mazingira ya biashara, kuongeza uzalishaji wa kilimo, miongoni mwa mambo kadhaa ya kiuchumi na matarajio ya ukuaji wa uchumi kwa mwaka ujao. Uchumi unapaswa kuendelea kukua kwa nguvu, ukiungwa mkono na matumizi endelevu ya miundombinu na ukuaji ndani ya sekta ya huduma ya jamii, pamoja na kuongezeka kwa mapato ya utalii. FocusEconomics inatarajia Pato la Taifa kukua kwa 6.5% mwaka 2019, kiwango ambacho hakitabadilika kutokana na utabiri uliopita, na 6.4% mwaka 2020.

Hii ina maana kwamba iwapo CCM itarudishwa madarakani kukua kwa uchumi hakutateteleka kwa sababu ya kukamilika kwa miradi ya maendeleo ambayo upinzani unadai ni maendeleo ya vitu.
 
Back
Top Bottom