Duh!! Aisee kwa kweli huwa sipendi kuiangalia hiyo picha. Yaani mwili wangu huishiwa nguvu na machozi huanza kunilengalenga. What have we done wrong to God to deserve this?
...... Copying everything instead of being creative and inventive!!!
Nyani, i've since updated my comment above.What do you mean?
... Ogah, mkuu wangu je unafikiri hii kitu inaishia kwenye swala la elimu tu?! Maanake hata waliotoka Harvard naona bado wanachemsha....degree/sifa za ubwete mbaya sana.............mtu waweza kuwa na sifa zako nzuri tu lakini ukatia dosari kwa degree za ubwete
Kevin Carter's Work, 1994.
.... and Masoud's (adaptation) work below:
Cartoon by Kipanya. Courtesy of: haki-hakingowi.blogspot.com
.... i would've otherwise called it a 'spoof', but i think it's been inspirationally sketched and it's well-intentioned.
SteveD.
Cartoon by Kipanya. Courtesy of: haki-hakingowi.blogspot.com
.... i would've otherwise called it a 'spoof', but i think it's been inspirationally sketched and it's well-intentioned.
SteveD.
That's really shocking, this was in 1994 during Sudan famine the child crawling to a food distribution camp about 1,000 metres away.....No one knows what happened to the poor kid and the vulture behind!!!!!!!
Duh!! Aisee kwa kweli huwa sipendi kuiangalia hiyo picha. Yaani mwili wangu huishiwa nguvu na machozi huanza kunilengalenga. What have we done wrong to God to deserve this?
Sorry wakuu hii picha siyo ya March 1993 and it first appeared in The New York Times on March 26,1993?Well the question about what happened to the girl is that she had enough strength to walk away from the vulture, but her ultimate fate was unknown.
Nyani ,
I always ask myself this question, whats wrong with Africa? What have we done to God to deserve all this? Poverty, hunger, diseseases, grand corruption, etc, the bad thing about this is when i see a picture like that i think of my daugher, i put her in that position and it hurts so badly, i cant help to cry, i end up so depressed the whole day, i try as much as i can not to see these things for my peace of mind. I believe in God and i love him so much, i know he can do something for Africa, he is the only one who can help now. I also wonder because Europe and Usa i think they do grand sins but why are they so welloff compared to Africa where everything is a struggle? What did we do wrong God?
nilisikia kuwa baada ya kupiga hii picha, na ikawa inajipatia umaarufu sana. Alieipiga alikuwa anaulizwa hii ishu iliishiaje, na kwa kuwa hakufuatilia, alibaki na msongo wa moyo kwa ajili ya kuwaza kilichotokea kwa huyo mtoto. mwisho wake alishindwa kuishi na kujiua!!
Cha kushangaza njaa imerudi tena huko Ethiopia na Sudan kwa kweli mdugu zetu hawajifunzi na ndio tatizo kubwa kwa viongozi wetu kujionyesha na kunyenyekea kwa wazungu.
Viongozi wa Afrika acheni kuweka mali zenu Ulaya na kuwatajirisha wa kuja, acheni wizi!