"The Picture That Shocked The World" & KP's Satire...

nilisikia kuwa baada ya kupiga hii picha, na ikawa inajipatia umaarufu sana. Alieipiga alikuwa anaulizwa hii ishu iliishiaje, na kwa kuwa hakufuatilia, alibaki na msongo wa moyo kwa ajili ya kuwaza kilichotokea kwa huyo mtoto. mwisho wake alishindwa kuishi na kujiua!!

Do you mean mpiga picha huyo alimuacha huyo mtoto pale pale yeye akaendelea kuiuza picha kwa ajili ya maisha bora. Kama alikufa kwa msongo wa mawazo heri ikiwa alimuacha pale.
 
Carter alitakiwa kushtakiwa mahakamani for this coz kila binadamu has aduty of care to fellow being.If he was in the position to help this toddler he would have helped her.

Duty of care may be considered a formalization of the implicit responsibilities held by an individual towards another individual within society. It is not a requirement that a duty of care be defined by law, though it will often develop through the jurisprudence of common law
 
....I can feel ya anguish bro. I personally think the 'curse' lies in the tendency to Copy everything instead of being creative or/and being inventive!!!

There are ideas or policies that seem to work everywhere except Africa. For example western political and economic ideas have been copied in Asia, Eastern Europe, Latin America and they work. However the same ideas copied in Africa, fail miserably. Why? Why do ideas that work in different environments, populations fail in Africa?
 
huyo jamaa aliepiga hiyo picha alijinyoga muda mfupi baadaye. ni baada ya picha hiyo kushinda tuzo kadhaa huko Marekani na watu mbalimbali walitaka kujua hatima ya huyo mtoto ndo matokeo yake jamaa akahisi kuwa hana thamani kwani ni kama ameua kwani alimuacha yule mtoto pale akaenda zake
 
Back
Top Bottom