The Phd,naomba ufafanuzi kidogo hapa mkuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Phd,naomba ufafanuzi kidogo hapa mkuu.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Perry, May 18, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Nikiwa kama mmoja wa mashabik wako hapa bongo,naomba kujua cv yako mkuu,na nin kirefu cha hlo neno phd?unatisha kwenye game mkuu.
   
 2. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Naona hii ipo too personal,si ungemtumia SMS mkuu?
   
 3. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  we jamaa vipi?mbona unashoboka sana..kila siku phd phd,we wa wapi?maana huwezi kuwa wa town wewe...unashobokeeea wajinga wajinga hadi noma.
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  language.......
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  wakuu anachokifanya Senetor nye hamjagundua,ila mi nimemsoma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mbona ashasomeka kitambo tu.
  Watu washamsandia!! Ha ha ha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  On his behalf...pretty huge dude
   
 8. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,168
  Likes Received: 3,375
  Trophy Points: 280
  yo whats your gender? If male, are u straight? Men never give a shit about other mans..
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Namkubali mwana miaka mia!mimi sina chuki za kipimbi kwasababu mimi mkali kitambo!
   
 10. mka

  mka JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu naomba nitofautiane nawe, kuwa mwanaume hakumzui mtu asiwe anamshabikia msanii wa kiume. Mbona wana kibao mitaani wanawashangilia na kukubali wacheza mpira wa kiume, wasanii wa kiume wa ulaya na marekani, pia watu wanawashabikia wanasiasa wa kiume na wanafuatilia maisha yao na CV zao, utasema nao wana matatizo ya kijinsia? Pia hakuna ambaye huwa anawahoji 'whether they are straight?' Au kwa kuwa PHD ni mtanzania basi watu wasimshabikie sana? Tujifunze kukubali kuwa binadamu tupo tofauti na kila mtu ana haki ya kushabikia na kupenda msanii/mchezaji/mtu yeyote. Kufanya hivo hakumfanyi mtu awe tofauti na mienendo ya jinsia yake.
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  anayemtaka huyu hapa!
   
 12. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Utakuwa umetoka familia ya kishua ambayo elimu inaipa kipaumbele au ushatoka sana nje ya nchi kama siyo hivyo basi ujanja uko damuni!
   
Loading...