Inaitwaje na ina season ngapiNimeona one episode ya hii series..
Cuba Gooding Jr as O J Simpson
John Travolta as Robert Shapiro
David Schwimmer as Robert Kardashian
Naona hii series itakuwa big hit
kuna mtu kashaitazama hii series?
@ nyani ngabu kui
"The People v. O.J Simpson" daaah nimeitafuta hapa ad nimechoka atayeipata aweke link hapa... the most publicized criminal trial in American historyInaitwaje jina la series the boss