Dah the bold unatisha mkuu nilikua na kufatilia kimya kimya leo umegusa kule kuna ku nikosha napenda saana mambo ya astronomy mie kazini nikiwa bored nataka muda uende naingia zangu youtube naangalia documentary za space, the edge of the universal mambo ya supermassive blackholes, and supanovas basi najikuta jioni hio hapo. tafuta siku utupe ya mambo ya ulimwengu.