The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

Mkuu, biblia inatuonyesha kuwa shetani ndiye mwana wa asubuhi, nyota ya alfajiri.
Taz
Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe Nyota
ya Alfajiri, mwana wa asubuhi!" Isa. 14:12.
"Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka
kutoka mbinguni kama umeme." Luka
10:18. "Ukawa juu ya mlima mtakatifu wa
Mungu." Eze. 28:14.
Shetani alikuwa akiishi
mbinguni alipoasi. Jina lake alikuwa
Lusifa, yaani, "Nyota ya Alfajiri".

Haya maelezo ya nyota ya asubuhi na jina lucifer nitayafuatilia mpaka kieleweke, kata issue mkuu.
 
Wana Jamii,

Mtakubaliana namimi kwamba kuna agenda nyingi sana za wakuu wa dunia zinakuja zikiwa zimepambwa majina mazuri na faida kemkem kwa wananchi huku lengo lake kuu likiwa nikuharakisha agenda ya NWO. Kwa mfano global citizen identification, global monetary system(e-money), global vaccination na war terror.
Haya yote yana pande mbili, one side devil and the other side angel.

Naombeni kusikia mawazo yenu, hili la SSRA la kupitisha sheria kimyakimya ambayo itawataka wachangiaji wa mifuko ya jamii kutotoa fedha zao za jasho mpaka watakapokua wamekufa (watakapokua wamefikisha miaka 55) ni agenda ya nani? Itamsadiaje mwananchi wa kawaida ambaye life expectancy yake ni miaka 48?

Hii mifuko imewahi kumsadidia nani? nani beneficiary mkubwa asiyeonekana wa hii mifuko?

The Luciferian agenda, the NWO is not many years away.

Yours, IHS
 
huyu jamaa vipi. anadhani atapata wachangiaje hapa? badala ya kutueleza habari za baba pekee na rais wetu mpendwa Dr. Slaa. yeye anazungumzia habari ya NSSF.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kuna elimu inaitwa Astrology, ni moja kati ya elimu kongwe katika historia ya dunia. Wengi tunaitake for granted kwa sababu ama hatuijui, tumekua brainwashed kuamin kwamba astrology ni kama viini macho au tumechagua tu kuipuuzia BUT ili at least kuelewa hii idea ya N.W.O na mafundisho ya most of these secret societies lazima uzijue ABC za Astrology. Kalenda zao zinatengenezwa humo. Matukio makubwa yanayojiri na yatakayotokea duniani yanategemeana sana na mienendo ya nyota/sayari.

Elimu hii ina influence kubwa kwenye hizi mordern religion na kwa mfano kwenye bible ipo kwa kiasi kikubwa,kwa mfano matukio ya kuzaliwa kwa Yesu, na ipo plainly (for anyone to see) in the book Apocalypse/ Rev. kitabu ambacho kimeelezea sana nyakati za mwisho but kuna question marks nyingi sana kwenye interpretation zake.
 
New world order is solely related to Satanism...... a long run mission,run from generations to generations whereby everything in human lifewill be controlled by satanic forces.. So far...it's becoming successful almost everywhere in the world as it has come in many forms..music.. humantarian aid..religion...health..fashion...cosmetics...politics...universal currency systems...so many forms!!:redfaces:

I tend to agree with you
 
Lazima mjue kuwa New World Oder lazima ije kutokea, na itatawala hapa duniani, even Daniel alitabiri hivyo. Na tayari imeanza kutawala. Cha kufanya ni kupambana kwa kutetea nafsi yako. Hakuna atakayeweza kupingana nayo, hata hivi sasa ipo na satanic works zipo mpaka hapa TZ. Tetea nafsi yako kwa Mungu, ndio kilichobaki.

Mkuu Apollo, It will happen(NWO)..no matter what,.u have refer from Biblical book of Daniel, but even in Revelation it tells/talk about the same thing.
 
Kama ilivyo kawaida binadamu huwa tunaamini "myths". Isitoshe hizi habari za sijui new world order, one world government na nyinginezo ni hadithi tu za watu waoga ambao hawafuatilii mwenendo wa mambo duniani ulivyo. Ukiangalia kwa ukaribu utakuta hizi hadithi zilianza vipindi vya zamani na watu wakajifanya wataalamu wa kubashiri siku za usoni zitakavyokuwa. Wengi wanaopigia debe haya mambo wanadai Marekani ndiyo itakuwa kinara wa kusimamia hiyo serikali moja. Lakini wanasahau kuwa matukio ya ulimwengu hayaendeshwi na porojo za bei rahisi kama hizi. Wakati watu wanatunga hadithi za ukinara wa Marekani hakuna hata mmoja aliyejua China itakavyobadilisha mambo. Sasa hivi kila mwenye akili anajua kuwa China inakuja kushika usukani wa uchumi wa dunia muda si mrefu sana baada ya kuiengua Japan toka nafasi ya pili. Hili ndilo taifa linaloinyima Marekani usingizi; kwa hiyo mnaopiga kelele za one world government naomba mtupe maelezo ya mwelekeo wa China katika hadithi zenu hizi.
La pili ni kuhusu hizi zinazoitwa "Luciferian societies" au wanaomwabudu shetani kama ambavyo wengi wanawaita. Hivi mnafahamu kuwa shetani hajawahi kuitwa Lucifer hata siku moja? Kama yupo anayebisha basi atuletee ushahidi wa shetani kuitwa jina hili. Neno lucifer ni Kilatini na maana yake ni "nyota ya asubuhi", jina lililokuwa likitumiwa kuiita sayari ya Venus kipindi ambacho inatokea angani mashariki alfajiri kabla jua halijachomoza.
Hivyo basi anayedhani kuwa kumwabudu lucifer ni kumwabudu shetani ameliwa.
Kwa kifupi hakuna uwezekano wowote wa dunia kuwa chini ya serikali moja na wala hiyo namba 666 haina uhusiano wowote na ulimwengu huu wala vizazi vijavyo. Ukisoma vizuri kitabu cha ufunuo utaelewa kuwa hiyo namba ilihusiana na mtawala wa Kirumi enzi hizo wakati wakristo wanateswa na dola ya Warumi iliyotawala eneo kubwa la Ulaya hadi Uturuki na nchi za Afrika ya kaskazini. Msikae mnatisha watu wasiojua historia ya dunia kama ambavyo nyinyi hamuijui.

Mkuu Massenberg, naomba kutofautiana na wewe kidogo

1. Hii inawezekana, ilitokea(kutaka kujaribu NWO) lakini haikufanikiwa sana, hasa kipindi cha Constantine.

2. Una maana gani kusema Shetani hajawahi kuitwa Lucifer?..nadhani kwa ku_quote Biblia hiyo hiyo Isaya 14:12 imeelezea vizuri kuhusu Lucifer!

3. Kuhusu alama ile uliyoiongelea ya 666, haikuwa wakati uliopita, ila ni kuhusu wakati UJAO(soon)..na katika kitabu hicho hicho cha Ufunuo inaeleza kama ilivyo kuwa kipindi cha nyuma(yaani utawala wa ulimwengu) yaani wakati wa utawala wa KIRUMI, itajirudia tena.
 
Mkuu Massenberg, naomba kutofautiana na wewe kidogo
2. Una maana gani kusema Shetani hajawahi kuitwa Lucifer?..nadhani kwa ku_quote Biblia hiyo hiyo Isaya 14:12 imeelezea vizuri kuhusu Lucifer!

Neno Lucifer limeanza kutumiwa kwenye "King James version" na wafasiri wa hiyo version waliongozwa ni Sir. Francis Bacon.
 
Mkuu Mourinho, so what do you say abt it(it is not right to be mentioned)?

Not at all, ila considering the history of this world, hiyo term ni morden term, halafu ni controversial in the sense that, Lucifer ni neno la kilatini which translates literally to "light bearer", sasa how come the so called "angel of darkness(satan)" awe na jina linalobeba hiyo meaning? It doesn't make sense or else unielimishe vizuri mkuu.
 
Mkuu Mourinho,

Yes, Satan was called Morning star/son of morning/Light bearer/Lucifer...hii ni kabla ya UASI, na ndiyo ile itumikayo katika Isaya 14:12

Malaika at times wametajwa kama nyota(star).. .Refer katika Ayubu(Job) 34: 4-6

Kuzaliwa kwa YESU: Mamajusi/wachungaji(Sherpherds) waliona kundi la malaika waliowatangazia kuwa katika Bethelehemu Masihi amezaliwa...na walisema waliifata Nyota ya mashariki iliyowaongoza hadi katika hori ya ng'ombe YESU alipozaliwa(the group of angles proclsimed unto them earlier)..soma Mathayo(Matthew 2:9)


Controversion:

Katika Revelation 12:4 na Revelation 12:7-9 Biblia inawataja tena malaika kama nyota, lakini hapa inaenda mbele zaidi na kusema kuwa yule aliyetupwa duniani ndiyo Ibilisi/Shetan(Satan)..

Hivyo "mkanganyiko/controversy" huu ni kuwa kabla wa kuasi aliitwa Morning star/light bearer yaani kule Mbinguni, lakini alipoasi akaitwa Shetani/Ibilisi.
 
Hippocratessocrates.

Naomba kujua tofauti ya "nyota ya asubuhi" na "nyota ya mashariki" na if possible anywhere in the bible (ukimuacha Isaya) ambako shetan anakua ref. as lucifer
 
Hippocratessocrates.

Naomba kujua tofauti ya "nyota ya asubuhi" na "nyota ya mashariki" na if possible anywhere in the bible (ukimuacha Isaya) ambako shetan anakua ref. as lucifer

None, as you said earlier(which is very true Greek translated that light bearer into Lucifer!..NOWHERE, in the Bible(KJV) you will find the word Lucifer, mkuu.
 
Mkuu Hippocratessocrates


Nimesoma Job 34:4-6, sijaona akiongelea stars but
".....let us choose to us judgement, let us know among ourselves what is good......."

Matt 2:9 .... "and, lo, the star, which they saw in the east, went before them...."
Nisaidie hapo kwa sababu anasema THE STAR, which they saw in the east, sasa sijui ukiiona nyota ikiwa mashariki inamaanisha ni nyota ya mashariki? Na anavyosema " the star" kuna maana hapo kaificha or else angesema "a star" but "the star" ni particular star.
 
None, as you said earlier(which is very true Greek translated that light bearer into Lucifer!..NOWHERE, in the Bible(KJV) you will find the word Lucifer, mkuu.

Kwenye the same bible kuna watu wengi walimuasi Mungu kuanzia Adam na Eve then Cain mpaka kwa Judah mwanafunzi wa Jesus, unaweza ukaonesha ni sehemu gani bible inaonesha kuwa those individuals walipata " majina" mapya simply tu kwa sababu waliasi?
 
Kwenye the same bible kuna watu wengi walimuasi Mungu kuanzia Adam na Eve then Cain mpaka kwa Judah mwanafunzi wa Jesus, unaweza ukaonesha ni sehemu gani bible inaonesha kuwa those individuals walipata " majina" mapya simply tu kwa sababu waliasi?

Humans ...none!Where are you getting at?
 
Humans ...none!Where are you getting at?

Bado hujanipa hoja madhubuti kuthibitisha kuwa Lucifer ndio Satan, ukisema Lucifer(satan) ni morning star inazidi kuleta utata kwa sababu in Reveletions, Jesus anasema "I am the bright and morning star" again ansema "to him that overcometh will I give the morning star"
 
Mkuu Hippocratessocrates


Nimesoma Job 34:4-6, sijaona akiongelea stars but
".....let us choose to us judgement, let us know among ourselves what is good......."

Matt 2:9 .... "and, lo, the star, which they saw in the east, went before them...."
Nisaidie hapo kwa sababu anasema THE STAR, which they saw in the east, sasa sijui ukiiona nyota ikiwa mashariki inamaanisha ni nyota ya mashariki? Na anavyosema " the star" kuna maana hapo kaificha or else angesema "a star" but "the star" ni particular star.

Sorry mkuu, i meabt Job 38:4-7....talking about stars, that they sang.....!

And in Matthew 2:9(Starting from verse 1) ndiyo hiyo yenye kuongelea nyota ITOKAYO mashariki na si nyota ya mashariki mkuu.
 
Back
Top Bottom