Ni vyema yeyote anapotumia mtandao afahamu kwamba hamna siri tena katika Mwelekeo Mpya wa Dunia (New World Order), na dunia yaelekea kasi mno kupitia teknologia ya kisasa kumfanya kila binadamu awe na nambari ya kumtambua alioko duniani. Hamna njia ya mkato, ila kukataa kusajiliwa katika mikakato ya New World Order. Na usije ukadhani kwamba hii ni ndoto, manake New World Order ina viongozi wake, kama CFR, Bilderbergers, Bohemian Grove, na Illuminati.
Mbinu zao ni kupunguza idadi ya watu wanaokisiwa 350,000 kila siku kupitia magonjwa kama AIDS (Ukimwi), Malaria, TB, na Ebola. Theluthi kubwa ya hawa waadhiriwa ni WaAfrika. Changamoto kubwa inayowakabili viongozi wa nchi za Afrika ni kukinga nchi zao kutokana na uvamizi huu, (ambao ni wa kisiri), ukiongozwa na makampuni ya Wabeberu, ambazo zinaunda madawa ya kuzorotesha jamii za Wa Afrika pindi wamejivika kanzu za uungwana na wakinena msamiati wa usaidizi (Aid). Hamna tofauti ya ulaghai wao na ule wa Wakoloni, au Mabepari wa Utumwa (Slave traders).
Lakini wao hualikwa kila kunapokucha humu Afrika, ilhali wamekaba shingo za Wa Afrika, katika mapambano ya kisiri, wakitumia ukatili wao kuwahujumu waAfrika. Basi asieyejua, hutumia mtandao kufurusha picha, siri zao, na maoni yao kiholela, bila kuwaza mwelekeo wao wala kutafakari kwa nini nchi za Afrika hazirushi na kuhifadhi vyombo vya satelait angani. Ni mshangao pia nchi nyingi za Afrika zina ahidiwa fedha za "kujiendeleza" bora tu ziwe na "e-governance" - maanake ni ziwe na mfumo wa kutokuwa na siri yeyote. Lakini viongozi wa nchi za Afrika wanaokumbatia huu mwito hawajiulizi ni kwa nini nchi "zilizoendelea" hazina e-governance kwa hali hiyo ya juu vile vile.
SHERIASAFI FOR MAMBOGANI
Mkuu umenikuna sana kwa uandishi wako unaotafakali mambo kwa kina, kuna wakati nilikuwa nataka kuandika maoni kama ya kwako. Tatizo kubwa la viongozi wetu wa Kiafrica ni kukosa kuwa na foresight - yaani kitu chochote anacho shauriwa na mtu mweupe anakimeza RAW, ni Viongozi wachache sana wenye ubavu wa kukataa ushauri usio kuwa na tija kwa Africa- wachukulie viongozi kama: R.Mgabe, N.Mandela na the late M.Gaddafi basi kusema kweli hawa ndiyo walionekana wana msimamo na wanalitakia mema bara letu la Wafrica.
Ni jambo la kushangaza sana kuona nchi za mashariki ya mbali ambazo GDP zao zilikuwa chini sana wakati wa wanapata uhuru wao kuliko baadhi ya nchi za Africa, leo hii wameweza kuhunda magari,consumer electronics, communication satellites, ICT, ndege, very large scale intergrated circuits and what have you. Wengi wao wamesomea nyanja hizi Ulaya na Merikani na serikali zao zilihakikisha wanarudi nyumbani kufanikisha maendeleo ya nchi zao, na walipo rudi wakapewa motisha na nyenzo ya kufanyia kazi bila kuingiliwa na wana siasa - matokea yake ndio tunashudia sasa: Nenda Uchina, Thailand, Malaysia, Korea ya Kusini mataifa haya yanafanya mahajabu sana duniani siku hizi wanajulikana kama Tigers wa mashariki ya mbali - na si muda mrefu Uchina itafanikiwa kuipiku Merikani kiuchumi, sisi tunabaki kuzunguka zunguka na bakuri la kuomba misaada miaka nenda miaka rudi with no end in sight, what a shame!
Jaribu kufanya utafiti juu ya wanafunzi Wafrica walio soma courses moja na hao Wachina, Wamalysia nk huko Ulaya na Merikani, je, walipo rudi nyumbani Serikali zao zilikuwa zimejitayalishaje kuwatumia kikamilifu kwa ajili ya manufaa ya Taifa lao, mkuu nakuhakikishia hakuna kilicho fanyika na infact wala Serikali zao aziwafatilii kujuwa wako wapi na wanafanya nini! hawako interested nao hata kidogo ndiyo maana bara letu linaishia kuwa ni soko la bidhaa za nchi hizo tajwa na wala viongozi wa Kiafrica hawashtuki.
Nchi zetu hizi zinashindwa kuji-mobilize walao kuwaomba Wachina watupatie transponder kwenye satellite zao ya ku-cover foot print ya bara lote la Africa, hii ingesaidia sana katika mambo ya communication/IT, mimi nilisha sema hizi Fiber optic ni rahisi sana kuzifanyia sabotage kwa kuzikata mnaishia kupoteza muda mwingi kizi-splice, lakini satellites siyo rahisi kuzifanyia hujuma na ziko more reliable, nasikia Wanageria nadhani wamewaomba Wachina wawasaidie katika hilo na Wakenya wanajitahidi sana katika fani ya ICT wanatumia kikamilifu open source software kufanikisha kuhunda customised application programs za kuendeleza nchi yao na nyingine kuziuza nje, sisi Tanzania hilo hutuna sio kwamba wataalamu hawapo wapo tu tele tatizo letu ni ukosefu wa dira - nimejaribu sana kufatilia fani hii ya ICT utakuta ni nchi chache za Africa zinazo jitahidi katika nyanja hii, nchi zenyewe ni South Africa, Egypt, Kenya, West Africa especially Ghana na Nigeria wanabadirishana sana ideas bila kificho lakini nchi zilizo baki zimelala tu including 'am afraid TANZANIA.
Imekwisha pita karibu miongo mitano tangu nchi za Kiafrica zipate uhuru, kwani nini mpaka zama hizi tunashindwa kuhuda magari au injini hata ya cylinder moja, consumer Electronics, ICT, Agriculture etc hii inatokana na viongozi wetu kutowathamini Wafrica wenzao wenye taaluma za nyanja tajwa hapo juu, wengi wa viongozi wa Kiafrica hawana nia thabiti ya kuendeleza nchi zao katika fani ya siyansi na teknolojia wanayazungumza zungumza tu kwenye International forum hili waonekane nao wamo lakini hawako commited chochote, this is sad part of it. Mh. Jakaya Kikwete nadhani amekwisha ona udhaifu huo kwa kweli na anajitahidi sana kuli-address, nadhani atafanikiwa hopefully.
Viongozi wetu wanatukuza sana mambo ya siasa na wizi kuliko sayansi, wakumbuke kwamba hakuna nchi yoyote duniani imepiga hatua bila ya kuheshimu sayansi na tekinolojia. Wewe siku moja kama huko kwenye computer yako jaribu ku-trace route za packets zinako pitia mpaka upate web site ambayo unataka kuitembela hata kama iko nchini mwako, utaona inapitia kwa ISP wako inakwenda Gateway ya kitaifa, ikitoka hapo inakwenda Ujerumani au Uingereza alafu Merikani alafu inarudi nchini mwako kutafuta site ambayo hiko nchini mwako mwisho ndiyo inarudi kwenye computer yako na jibu, sasa hii inaleta taswila gani? kwani nini sites za humu Africa zisiwe routed humu humu Africa kuliko kupitia nchi za Merikani na Ulaya. Mataifa yenye nia mbaya na bara hili wanaweza kabisa ku-track mambo yote ya Serikali za Kiafrica na kujenga data base kubwa za kila raia aliyejiuga na mtandao wa simu au komputa na kuweza kutufanyia hujuma za kila aina wakiamua, mimi nashangaa Serikali zetu kushupalia mambo ya e-gvt sijuhi nini - hawajuhi hatari wanazo jipalia, waswahili usema asiye kujua awezi kukufanyia hujuma. Google hiko very popular lakini inatumika sana kukusanya profiles za watu na mambo anayo yafanya akiwa kwenye keyboard e.g sites unazotembelea mara kwa mara watu unao wasiliana nao etc wameongezea mbuni nyingine wanakwambia tupe namba yako ya simu hili tu-confirm e-mail yako na wanakupigia simu kweli, mwishowe database ya information zote inapewa usalama wa taifa wa Merikani katika hilo nani atabaki salama.
Mwisho nizungumzie ugojwa wa
AIDS na
Mbegu za nafaka:
- Ugonjwa wa AIDS
- Mimi toka mwanzo nilikuwa siamini kama ugojwa wa AIDS ulitokana na virus kutoka sokwe mtu wa msitu wa Congo, kama nakumbuka vizuri ugojwa huu uligundulika kwa mara ya kwanza huko San Francisco kwenye community ya mashoga kama nakumbuka vizuri-sasa wazungu hawa wanaweza kututhibitishia je kwamba ugojwa huu uliruka kutoka equatorial Congo na kwenda Merikani? Ukweli wa mambo ni kwamba AIDS virus vilitengenezwa na wana sayansi ya kijeshi wanao husika na Biological warfare, kama wanaweza kutengeneza anthrax, na virus vya ugonjwa wa smuts etc awawezi kushindwa kutegeneza virus kama hivyo, we sema labda ni utafiti which went wrong wakajikuta wametengeneza virus ambavyo wameshindwa kutengeneza kinga dhidi yake, au kinga wanayo lakini wamekaa kimya ili waendelea kupata funds za kufanyia utafiti wa uongo na kweli hili mradi siku zinakwenda na hela zinateketea, vile vile inawezekana walitengeneza virus hizi wakiwa na ajenda ya siri ya kupunguza idadi ya watu duniani especially Africans.
- Mbegu za Nafaka
- Makampuni ya mbegu za nafaka kama vile Cargil na Mossanto wanazalisha mbegu ambazo ziko genetically modified kiasi cha kuzifanya ziote na kutoa chakula wakati umezinunua kwao, lakini mbegu hizo hizo ukiziweka akiba baada ya mavuno ukitegemea kuzipanda tena azioti ng'o. Ukitaka kuzipanda tena lazima uende ukanunue kwao, sasa mbinu hizi chafu zikiachwa zikashamili nini kitakuja kutokea hapo mbeleni kuhusu mbegu za chakula! Si dunia itashikwa mateka na majambazi haya ya mbegu za chakula. Kuna GM seeds nyingine ambazo azina kuzuizi cha kuhota isipokuwa wameweka sheria kwamba wakikuta shamba lolote lina element ya mbegu zao katika mazao ya commercial farmers basi wakulima hao watachukuliwa hatua kali! hii ina maana hata ukiwa mbali sana na shamba ambalo lina GM seeds hata upepo ukipeperusha pollen grains za GM plants na ikatokea cross pollination kwa bahati mbaya, basi utashitakiwa na kupelekwa mahakamini na kuhukumiwa kifungo au kufilisiwa kila kitu! Kumbuka hawa jamaa wana ushawishi mkubwa katika Serikali ya Merikani na wana pesa nyigi sana kwa hiyo wanaweza kufanya lolote wapendalo bila wasi wasi, nilishihudia baadhi ya wakulima wa Canada na Merikani wanafikishwa mahakamani kwa kesi hizi hizi za kijinga na wanafilisiwa mali zao hili kuwatisha wakulima wengine wafuate masharti yao, hizi zote ni baadhi ya mbuni za Illuminati wako well organised - je ndugu zangu dunia inakwenda wapi. Wegeweza kufanya mabaya zaidi kama sio kuogopa Wachina na Warusi.