Ni vizuri kutoji-engage kwa baadhi ya watu/vitu ili ubakie real you
mara nyingi hali inakuwa more worse kwa kutokua honest
Tatizo ukiwa honesty sana, watu-sensitive hukimbia reality na kufikiri unawapinga
Treat her well...she is the only sisy i have....
ile kitendo ya kusema kaagiza yeye.... tegemea kua results are guaranteed!!
Now thats the thing I do best....Did I say I love best? LOL
She is here with me.....
She can tell you....if you so wish lol
If you don't mind... How do you Love??? lol
Ni vizuri kutoji-engage kwa baadhi ya watu/vitu ili ubakie real you
mara nyingi hali inakuwa more worse kwa kutokua honest
Tatizo ukiwa honesty sana, watu-sensitive hukimbia reality na kufikiri unawapinga
King'asti bado linahitaji haswaaumesahau uchokozi pia....
yaani nilipita wakati najihesabia haki yangu uzi ukapotelea wapi sijui,kha!
bado jibu linahitajika?
mkuu tayari umempata maana kuna mahali nimeona umejipaka majivu unaomboleza kwamba hakusikii kilio chako! LOL...
love....I wont say a word here in case I spill the beans....(twende home I need u babe)
.....lol.... I kind of knew you would say that Sweetie.... (I am all yours Love... I am more than ready to go)
Treat her well...she is the only sisy i have....
Kwanza nilimuuliza swali akanijibu... then on top of that akanielewesha hivo i think ni ile Sweet honesty....lol
Can someone tell me kwanini huu uzi umefikia huku bila ya ODM kujua?
Hilo kwanza afu ndo niwamwagie kile nachokipendea kwa ODM mwenyewe.
AshaDii popote ulipo, waweza kunambia kwanini hujanitendea haki?
Ngoja nikachukue bakora yangu.
Ahsante mamushka....angalau weye umenikumbukaga lolKukuthibitishia kwamba umezeeka! Kwamba hata ukiresti in pisi wao wataendelea kusonga.....lol!
Pole biggy! Unajipendeaga nini wewe?
Ahsante mamushka....angalau weye umenikumbukaga lol
Hivi mamushka ushawahi kuyaona meno yangu?
Mamushka umeona kile chakula chetu kimerudishwa? Kagua hapo chini: Na kaLIKE nimekugongea pia si unajua mimi na wewe hatunyimani?........
The Following User Says Thank You to bht For This Useful Post:
Asprin (Today)
Tatizo weye unaposti vaya mobaili huwezi nilisha sakramenti yangu bana...........hebu do the needful na invizibo akuwezesha bana!Si ndo mmekaona nkasema dah sakrament ya biggy hii....invizibo kakuweza na kitubio utafanyiaga humu humu sasa....
You also want to love love? ... BE IT, express it dearly, express it in your words, thoughts, feelings and express it in all your actions. It will be you , will grow with you ...you will love it ...and you will love the way it comes from within ... an without ... will love loving it!!