The New Libya...

The New Libya...

Chupaku, Saif wanamrudisha kutoka wapi?

Last time alikuwa anashikiliwa na kundi flani ambalo lio aligned na hao NTC.
 
.............Kumbe ndo purukushani za kujiandaa kwa NaTo(Italy) kutaka kuja kuimarisha ulinzi.
 
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/libya-damu-upya
Luqman maloto na vyanzo vya kimataifa
YALIYONENWA kuhusu damu kuendelea kumwagika Libya yameanza kudhihirika kwa vitendo, amani ya nchi hiyo ni msamiati mgumu kutokana na machafuko yaliyoibuka wiki iliyopita ambayo almanusra yasababishe vifo vya viongozi wakuu wapya wa nchi hiyo.
Mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Taifa (NTC), Mustafa Abdul Jalil ambaye ni kiongozi mkuu wa nchi hiyo kwa sasa na makamu wake, Abdul Hafiz Ghoga, walinusurika kuuawa Jumamosi iliyopita.
Jalil, aliponea chupuchupu baada ya walinzi wake kumtoroshea mlango wa nyuma, kuwakwepa waandamanaji waliovamia Makao Makuu ya NTC, Benghazi na kuvunja ofisi hizo za serikali ya muda.
Baada ya Jalil kuokolewa na walinzi wake, waandamanaji hao wakiwa na hasira, walilivamia gari lake na kulivunjavunja kabla ya kuliacha nyang'anyang'a.
Kwa upande wa Ghoga, alizingirwa na wanafunzi wa vyuo vikuu mjini Benghazi lakini aliokolewa kabla hawajamdhuru.
Jalil ndiye aliyekuwa na wakati mgumu zaidi, kwani alitupiwa vitu mbalimbali ambavyo hata hivyo, havikumjeruhi.

MADAI YA WAANDAMANAJI
Waandamanaji nchini Libya, wamegawanyika kwenye makundi matatu na kila upande una sababu zake ambazo unataka zisikilizwe na kufanyiwa kazi.
Makundi yote, yanaungana kwenye pointi moja kuwa ni lazima uongozi wa NTC ung'oke kwa sababu umeshindwa kutekeleza mahitaji yao.

KUNDI LA KWANZA
Ni wananchi wanaotaka uwazi kuhusu rasilimali za Libya. Wanadai kuwa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo, Muammar Gaddafi, aliacha fedha na mali nyingi kwa ajili ya Walibya lakini zinatumika bila mpangilio wala maelezo.
Wanadai kuwa maisha yamekuwa magumu, wakati enzi za Gaddafi kulikuwa na hali nzuri. Vilevile wanailaumu NTC kwa kuunda sheria ya uchaguzi bila kuwashirikisha wananchi.

KUNDI LA PILI
Ni wapiganaji walioshiriki kumng'oa Gaddafi. Wanadai kuwa NTC imewatenga katika muundo wa serikali ya mpito na hata fedha walizopewa kama mgawo, hazitoshelezi mahitaji yao na hazilingani na nguvu waliyotumia.
Wapiganaji hao ambao wengi wao walivamia ofisi za NTC wakiwa na majeraha yaliyotokana na vita, wanaishutumu NTC kwa kushirikisha baadhi ya watumishi wa umma waliokuwepo tangu enzi za Gaddafi.

KUNDI LA TATU
Ni wanaharakati wa Islamic Brotherhood ambao wanadai Libya ni nchi ya Kiislam, kwa hiyo ni lazima iongozwe kwa sharia, hivyo wanataka NTC ing'oke kupisha muundo wa serikali utakaofuata misingi ya Uislam.

NI LAANA YA GADDAFI?
Kabla ya Benghazi, wananchi wa Jiji la Sirte walikuwa wa kwanza kulalamikia kuwa maisha ya Libya yamekuwa mabovu tangu kupinduliwa na hatimaye kuuawa kwa Gaddafi.
Wananchi hao walilalamika kuwa Gaddafi aliwasaidia kujenga nyumba lakini NTC walibomoa, kadhalika alilinda maisha yao ila baraza hilo la mpito liliua raia wakati wa vita wakisaidiwa na Jeshi la Kujihami la Nchi za Magharibi (Nato).

Wananchi wa Sirte walitoa msimamo kuwa Libya haitakalika mpaka damu ya Gaddafi ifidiwe, pia kaburi alilozikwa liwekwe wazi ili kila raia wa Libya ajue mahali lilipo.
Leo ni siku ya 96 tangu Gaddafi alipokamatwa na kuuawa Oktoba 20, 2011. Kabla hajafa aliwauliza wapiganaji wa NTC: "Je, mnaujua ukweli katika uongo?"
Kulikuwa na mpiganaji aliyekuwa mstari wa mbele kumsulubu, akamuuliza: "Kama wewe, nimekukosea nini?"

Awali, ilionywa na wachambuzi wa siasa za kimataifa kuwa kupinduliwa kwa Gaddafi haiwezi kuwa suluhu ya amani Libya, badala yake inaweza kuchochea machafuko ya muda mrefu.
Inaelezwa kuwa kumekuwa na machafuko ya chini kwa chini ambayo yamekuwa yakiwaachia majeraha wananchi, wakiwemo wanawake na watoto.
PICHA ZOTE NA AFP
 
A Libyan air official said war planes were being mobilised to fly to Bani Walid. But it was not immediately clear what the government in Tripoli could do.

Elders in Bani Walid, where militias loyal to the ruling National Transitional Council (NTC) were driven out in a gunbattle a day earlier, said they were appointing their own local government and rejected any interference from the authorities in the capital Tripoli.

Kichekesho kipo hapa.

The town's revolt will heighten doubts in the West about the NTC government's ability to instil law and order crucial to rebuilding oil exports, to disarm tribal militias and guard Libyan borders in a region where al Qaeda is active.

US-NATO ndio waliwapa silaha Al qaeda huko Libya. Bofya hapa BBC News - Libya conflict: France air-dropped arms to rebels Hivi baada ya kuwapa silaha na mafunzo walitegemea Al Qaeda wawe magoi goi?

Zaidi hapa Former Gaddafi stronghold revolts against Tripoli | News by Country | Reuters

 
Huyu Jalil kumbe haishi hata Tripoli anaishi nje ya nchi na wala hakuan serikali pale Libya ni kila mtu ana lake anasema analotaka na vyovyote anafanya..kwa ufupi ile nchi ni kama imemalizika kabisa baada ya Kifo cha Kamanda Ghadaff na hakika hata wale akina Jalil lazima wauawawe..
 
Libyan Protesters Lash Out at New ‘Monster’ in Power

Libyans are accusing their new rulers of corruption, secrecy and nepotism, as protests grow across the country only three months after the death of dictator Moammar Gadhafi fueled hopes for democratic change in the North African nation.

Unrest across Libya, including in Tripoli, the capital, and Benghazi, the second-largest city, in the east, now threatens the National Transitional Council (NTC), an interim body that comprises an unknown number of unelected representatives.

The council’s control over the country was dealt a blow Tuesday when hundreds of armed men thought to be still loyal to Gadhafi seized Bani Walid after easily defeating the local pro-NTC revolutionary force in the city, which is 90 miles southeast of Tripoli. Bani Walid was one of the Gadhafi regime’s last strongholds in the revolution that ended in October.

Libyan sources gave conflicting accounts of whether the uprising was led by Gadhafi loyalists or residents angry at the NTC. Some sources said Bani Walid residents raised green flags synonymous with the former regime. At least four revolutionary fighters were killed in the clash this week, they said.

The NTC also has failed to disarm hundreds of armed militias that frequently engage in deadly clashes with one another.

“The Libyan people have identified the NTC as the root of all problems in Libya,” said Mohamed Benrasali, a spokesman for the city council of Misrata, 125 miles east of Tripoli.

“The NTC has become a monster and a corrupt one at that due to the lack of transparency. And, ultimately, these protests may lead to the fall of the government,” he added in an Internet phone interview.

On Saturday, protesters stormed the NTC offices in Benghazi, confronted its chairman, Mustafa Abul Jalil, and vandalized his vehicle.

Many Libyans accuse Mr. Abdul Jalil of running a one-man show. He served as justice minister in the Gadhafi regime but switched sides early in the revolution, which started in February.

“Everyone feels that the NTC is not playing a good democratic game and it doesn’t feel like a good beginning for the new Libyan democracy,” Kamal Farhat, who took part in the protests in Tripoli, said in a phone interview.

Many Libyans also are worried that the Muslim Brotherhood, an Islamist group that was banned by Gadhafi, is trying to hijack the country. The transitional government and local councils are packed with Islamists who wield immense power, they say.

“These are people who are trying to hijack the revolution, and anxiety is spreading fast in society,” Hakeem Gadi, a Tripoli-based pro-democracy activist, said in a phone interview.

Mr. Abdul Jalil has done little to address the protesters’ grievances.

Instead, he warned in an interview Sunday with Libya al-Hurra television that the country would descend into a civil war if the NTC resigns.

Some Libyans see shades of Gadhafi, who was killed Oct. 20, in Mr. Abdul Jalil’s rhetoric.

“This is like Gadhafi speaking all over again. We appreciate that [Mr. Abdul Jalil] has united the country in difficult times, but we don’t want him to develop a tyrant syndrome,” Mr. Benrasali said.

A group of university students assaulted Mr. Abdul Jalil’s deputy, Abdul Hafiz Ghoga, in Benghazi on Thursday. Mr. Ghoga resigned two days later complaining that “the atmosphere of deprivation and hatred has prevailed.”

To some Libyans, distrust for the government is only natural.

“We have trust issues with the NTC,” said Rida Ali, who joined in the initial days of the protests in Tripoli’s Algeria Square.

“But, the past 42 years have been a bad experience. I would have a hard time trusting my mother if she was in government right now,” he added in a phone interview.

The NTC’s role is that of a legislative body. It elected interim Prime Minister Abdurrahim el-Keib, whose government has the role of an executive body. However, the absence of clear lines of responsibility has resulted in the NTC frequently trespassing on the el-Keib Cabinet’s role.

Much of the anger on the streets has to do with a draft electoral law that protests say is undemocratic.

The initial public uproar over the legislation stemmed from a rule barring dual nationals from running for office and for reserving 10 percent of the seats in the 200-member national congress for women. Critics say women would be underrepresented.

However, pro-democracy advocates contend that these two issues were smoke screens to divert attention from much more serious flaws in the legislation.

In its current form, the legislation provides no clarity on the electoral system or how congressional districts will be drawn.

“The draft law is a way of hijacking the whole election. It is a joke,” said Mr. Ali, the Tripoli-based activist.

Pro-democracy activists are also concerned by the presence of Ameen Belhadj, a prominent member of the fundamentalist Muslim Brotherhood, as deputy chairman of the committee responsible for drafting the electoral law.

“Having a Muslim Brotherhood leader in the committee responsible for putting together the electoral law makes everybody worried about the outcome,” Mr. Gadi said.

The electoral committee announced Sunday that it would postpone the release of the final law to this Saturday. The national congress is to be elected before June 23 under a timeline laid out by the NTC. It will oversee the drafting of a new constitution.

Some protesters are also angry about the presence of Gadhafi-era officials in top positions in the transitional government and in local councils.

“It is the ultimate sin to employ anybody from the past regime,” Mr. Benrasali said.


Source: washington times
 
[h=1]Arms from Libya could reach Boko Haram, al Qaeda -UN[/h]The Libyan civil war might have given militant groups in Africa's Sahel region like Boko Haram and al Qaeda access to large weapons caches, according to a U.N. report released on Thursday.
The report on the impact of the Libyan civil war on countries of the Sahel region that straddle the Sahara - including Nigeria, Niger and Chad - also says some national authorities believe the Islamist sect Boko Haram, which killed more than 500 people last year and more than 250 this year in Nigeria, has increasing links to al Qaeda's North African wing.

Arms from Libya could reach Boko Haram, al Qaeda -UN | News by Country | Reuters

Hawa watu wa ajabu kweli. Wameiharibu nchi ambayo uchumi na miundo mbinu yake ilikuwa imeanza kuzipiku hata baadhi ya nchi za ulaya. Wameipiga mabomu, nyang'a nyang'a, haitamaniki.

US, UK, France, Qatar na nchi kadhaa zilishiriki kuwapa silaha waasi, ambao pia walikuwemo well known Al qaeda members, leo wanakuja na "upuuzi"...oh silaha za Libya zinasambaa. Wanajaribu kutipiga changa la macho.

Strong independent Afrika ni tishio kwa uhai wa nchi zao na tishio pia kwa ustawi wa mfumo wao wa kuzifanya nchi za Afrika na latin Amerika kuwa ni mashamba ya bibi yao. Afrika inayojitegemea ambayo ingefuta mfumo kama wa Libya ungehatarisha ustawi na amani wa nchi zao. Haya yanayotokea Afrika na yanayosambaa kwa kasi kutoka nchi hadi nchi ni mpango wa makusudi wa "wazungu".

Miafrika inatupasa tuamke! na tuchukue hatua.
Kuna haja ya bara la afrika kuziwekea vikwazo hizi nchi za US-NATO na kufunga balozi zao katika bara hili.Wanatuhujumu kupita vipimo.
 
Back
Top Bottom