Mkuu EMT,i beg to differ,
A new Libya began the day Gaddafi got killed.
Mkuu, Libya without a green book is new, maybe tuanzie hapo?Mkuu jmushi1 yawezekana operational definition yako ya new libya ni tofauti na ya MTN......kwako new Libya ni nini may be ????
as kwa yeye kama nimemuelewa ni a full systematized state with policies and a running budget ..... sasa ukisema alipokufa tu Gaddafi a new Libya emerged its a bit contradicting
Utawala wowote unaoungwa mkono na Marekani wanaweza kufanya watakavyo na hakuna mtu wa kuwanyooshea vidole. Marekani waliwaunga mkono makaburu wa SA, walimuunga mkono muuaji Jonas Savimbi, walimuunga mkono Renamo aliyekuwa anakata watu mikono, walimuunga mkono Mobutu, walimuunga mkono Sadamu wakati wa vita na Iran NK, NK. Mahali popote ambako Marekani wana maslahi basi utawala waweza kufanya utakavyo. Na huu ndio ugonjwa wa dunia.[h=1]Libya Black African Migrants Forced To Eat Flag (WARNING: Disturbing Video)[/h]Libya: Blacks treated like Apes in the Zoo by rebels - YouTube A recent video purporting to show black African migrants being force-fed Gaddafi's flag has surfaced, underscoring alleged abuses of migrant workers in Libya since the fall of the regime.In the video, a group of men are seen sitting on the floor inside of a cage with their hands tied behind their backs..... >>>> Je. Kulazimisha raia kutafuna na kumeza bendera huo sio uvunjaji wa haki za binadamu? iko wapi "Human Right Watch" ? Ziko wapi nchi za magharibi na Marekani zilizokuwa zinalialia eti Comred Gaddaf ( R.I.P) anaminya demokrasia na kuvunja haki za binadamu? Halafu utawasikia watu wenye "aKiLi?" wansema marekani na Magharibi ndio zinazoeneza demokrasia bora na haki za binadamu safi kwa ulimwengu.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa, wenzetu hawa act kwa kutumia emotions, wao ni maslahi ya taifa mbele, period!Utawala wowote unaoungwa mkono na Marekani wanaweza kufanya watakavyo na hakuna mtu wa kuwanyooshea vidole. Marekani waliwaunga mkono makaburu wa SA, walimuunga mkono muuaji Jonas Savimbi, walimuunga mkono Renamo aliyekuwa anakata watu mikono, walimuunga mkono Mobutu, walimuunga mkono Sadamu wakati wa vita na Iran NK, NK. Mahali popote ambako Marekani wana maslahi basi utawala waweza kufanya utakavyo. Na huu ndio ugonjwa wa dunia.