Hehehee, hii kitu tuliwahi kuisema humu. Jamaa naona wameunganisha Toyota Rush na Raum wakabandika nembo ya Land Rover. Hiyo gear lever sasa, mmh! Kama minivan πππ
Halafu inaonekana body plastic na bati ni 50/50
Hii haiwezi kazi za kwenda Landanai na huko Mererani...
Muonekano naona wameiba kidogo kwa Discovery na Range...kwa hiyo hamna ladha mpya hapo.