The new BODYGUARD OF J.K?

The new BODYGUARD OF J.K?

The guy was normal so does Hashim Thabit...hakuna ugonjwa wowote hicho ndio kimo walichofikia katika ukuaji wao kama ambavyo wewe umefikia huo urefu ulionao...

images


Haya Manute Bol huyo nae! kwani huu ndio ugonjwa gani sasa?
 
Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?

Hivi hapa nani mwenye mamlaka?. Kuna mtumishi anatakiwa kuwa sacked kwa hii blunder

Barack Obama Walking With Joe Biden

 
Nakubariana na wewe. Hata mifuko ya koto na shati hukaa kushoto, hapa iko kulia, kwa hiyo itifaki imezingatiwa.
Ukiangalia kwa makini utaona hiyo picha imegeuzwa...! Angalia vifungo vya mashati
 
Hili suala la Itifaki ni gumu kidogo ndo mana nikauliza kwa kuwa mi sina ufahamu sana wa mambo hayo, nakumbuka Bush alipokuja Bongo wasaidizi na watu wa usalama walikuwa makini sana kuhakikisha JK anakaa kushoto kwa Bush.

Nafikiri huwa inategemea na aina ya ziara/ugeni kama official au vinginevyo
 
Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?

wabongo tunajua kila kitu...hiyo picha ni mirror image..khaaa!
 
Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?
Hakuna kosa hapo, Hashim Thabiti ndiye mwenye mamlaka kitaifa, na hapo JK ndiye alikuwa mgeni wa HT. Sasa ulitaka wabadilishane kushoto-kulia ili wavunje protokali!?
 
Kuna mambo mengine umuhimu wake haujulikani ... ila tumezidi kukomalia ...kha!!!!
 
Huyo dogo mie nagoma kabisa kupiga nae picha, labda akae chini, huku kuaibishana sasa
 
Kwa aina ya uendeshaji wa itifaki ya nchi hii sasa hivi, kuna siku rais atatembea kashikwa mkono kama vile ashikwavyo mtoto ukitembea nae barabarani!

Tangu lini rais anakaa kushoto huku mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti?

Kwani hao wamekaa?
 
Kwa hii picha ndiyo tuiambie nini itifaki ya kiongozi powerful duniani. Au macho yenu yanakuwa na makengeza kwa Rais wa Tanzania peke yake.

IN24_INDIA-US_14143e.jpg


Prime Minister Manmohan Singh and President Barack Obama walk down the Cross Hall in the East Room of the White House in Washington on Tuesday. Photo: PTI
Hao wote ni viongozi wa kitaifa,

Itifaki husimama kama ilivyo ilimradi awe wa kitaifa tu!
 
Hao wote ni viongozi wa kitaifa,

Itifaki husimama kama ilivyo ilimradi awe wa kitaifa tu!

Tatizo lako kila lile Rais Kikwete analifanya unakuwa critical utafikili hakuna mazuri anayoyafanya, sasa tumekuletea picha unasema hao wote ni viongozi wa kitaifa utafikiri hatujui itifaki ikoje. kama Viongozi wote ni wa kitaifa, kusimama kulia au kushoto inategemea ni yupi mgeni kwa kiongozi mwenzake.
 
........Yaani boda boda zinapakia zaidi ya mshikaki siku hizi... jamaa wengine wanasimama...kama kwenye daladala...
 
Back
Top Bottom