Hivi protocol ikoje? JK hakutakiwa kukaa upande wa kulia?
Mkuu una uhakika gani kwamba kweli huyu ni bodyguard? Hakuna bodyguard wa kuongozana na Rais namna hiyo bwana. Huyo naamini alikuwa ni mgeni tu aliyemtembelea Rais Ikulu.Kwa aina ya uendeshaji wa itifaki ya nchi hii sasa hivi, kuna siku rais atatembea kashikwa mkono kama vile ashikwavyo mtoto ukitembea nae barabarani!
Tangu lini rais anakaa kushoto?
Mkuu una uhakika gani kwamba kweli huyu ni bodyguard? Hakuna bodyguard wa kuongozana na Rais namna hiyo bwana. Huyo naamini alikuwa ni mgeni tu aliyemtembelea Rais Ikulu.
Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?
Is this boy not sick? looks to me like he continues growing tall. Unless his pituitary hormone gland is stopped from secreting the growth hormone, or he is in a big physical trouble.
Mkuu una uhakika gani kwamba kweli huyu ni bodyguard? Hakuna bodyguard wa kuongozana na Rais namna hiyo bwana. Huyo naamini alikuwa ni mgeni tu aliyemtembelea Rais Ikulu.
Kwa aina ya uendeshaji wa itifaki ya nchi hii sasa hivi, kuna siku rais atatembea kashikwa mkono kama vile ashikwavyo mtoto ukitembea nae barabarani!
Tangu lini rais anakaa kushoto huku mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti?