The new BODYGUARD OF J.K?

The new BODYGUARD OF J.K?

Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?

Home work kwako watambulishe anzia kulia
 
Bado mimi sijawaelewni, ingawa kuna ukweli kwamba, maraisi wote hao wamekaa same position kwa mujibu wa Picha hizi. Kwa hiyo hata ukizigeuza, bado itakua vile vile same position kwa wote. Sasa la msingi na sekondari mpaka chuo, tukubaliane upande wanao takiwa kukaa ki protocal.
 
Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?

Hapa vipi? Itifaki imezingatiwa?

 

Duh! Mkuu wewe kiboko wakumaliza haya maubishi. Hapo sasa! Je itifaki imezingatiwa? Yaani Usalama kiboko. Ugeni huo umerudiwa ili kuzingatia itifaki kama Obama alipo apishwa upya tena baada ya kukosea itifaki ya Kiapo alipochaguliwa kua Rais wa Marekani kwa mara ya kwanza.

Nonda umenifurahisha sana!
 
Hili suala la Itifaki ni gumu kidogo ndo mana nikauliza kwa kuwa mi sina ufahamu sana wa mambo hayo, nakumbuka Bush alipokuja Bongo wasaidizi na watu wa usalama walikuwa makini sana kuhakikisha JK anakaa kushoto kwa Bush.

Nafikiri huwa inategemea na aina ya ziara/ugeni kama official au vinginevyo

Hii naikumbuka sana mkuu! Hata bush mwenyewe alikua makini sana kuhakikisha JK anakaa kushoto! Kuna mahala nakumbuka BUSH aibadili position akamuweka JK koshoto! Na alikua anafanya haya kwa umakini Wa Hali ya juu!
 
Nimeamini picha sio ushahidi wa Mahakamani, maana Mkuu Nonda alivyo maliza huo ubishi wa picha, sio mchezo!
 
Kwa aina ya uendeshaji wa itifaki ya nchi hii sasa hivi, kuna siku rais atatembea kashikwa mkono kama vile ashikwavyo mtoto ukitembea nae barabarani!

Tangu lini rais anakaa kushoto huku mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti?

Lolote si ajabu sasa iiwapo Rais anatukanwa bungeni atasameheka na mere protocol?
 
Kiitifaki mgeni/mtu yeyote asiye na mamlaka ya kitaifa hukaa kushoto mwa aliye na mamlaka ya kitaifa, sasa huyu mgeni wake kulia tena mgeni mwenyewe Hashim Thabiti, je huu ni uzingatiaji wa itifaki na protokali na viongozi duniani?

Labda wapelekwe Ngurdoto kwa semina elekezi ndiyo wataelewa, vinginevyo ni upepo tu utapita...
 
Back
Top Bottom