The Monalisa Smile Painting....!!!

The Monalisa Smile Painting....!!!

ukisoma kitabu cha da vinci code cha dan brown ameelezea mambo mengi sana kuhusiana na hiyo picha
 
nasikia hao wachoraji hawakufaidika na picha zao na waliofaidika (pesa) ni watu wengine kabisa
 
originally hiyo portrait inaitma "la joconde" na inasemekana ni image ya mke wa tajiri na nobleman mmoja wa huko italia.. after all haina kitu chochote more special but ni porojo tu za watu..

na kuna rummors kwamba hiyo picha hapo musee du louvre ni fake ndo maana hawaruhusu watu waishike.
 
attachment.php
if-mona-lisa-was-alive-todaybf9d105253e3d6ed2628.jpg
mwaka 2013 nae angepiga selfie kama kawa
 
nmeipenda! mtu asiejua mchoro wa monalisa ametishaaa
 
monalisa ni mchoro wa kufikirika tu! hakuwa kuwepo, mchoraji alifikiria tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom