The Miracles Of Make Up Reloaded!!! You'll Get Scared.

The Miracles Of Make Up Reloaded!!! You'll Get Scared.

More
1413738_Screen_20131112_230346_jpgc6641b07069fea3403dbfc7b6df0f46a

1413739_Screen_20131112_231016_jpg04cdde7d4df728fec028b9e077f62201

1413740_Screen_20131112_231034_jpg6e47b013592ec3897a19dc7f9fa80284

1413741_Screen_20131112_231047_jpgb44b134b63bf5e28734c8d46fcc3ff8d
Unaweza kutangaza ndoa kwa kimeo. Kama ndo hivi!
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii guys kazi mnazo!! Haswa mademu wa disco ni tooooooo fake!
 
yaani we acha tu ndio maana wanasema ukitaka usiuziwe mbuzi kwenye gunia nenda kamtafute mchumba akiwa anaosha masufuria ya masizi hapo ndo utamjua ikiwa kwa kweli ni mzuri au mbwembwe tu za make up vinginevyo utalia na moyo.
ni ugunduzi mkubwa sana huu
imagn mtu unakua transformed kabisa...
 

hahahaaaaa!!mwanaume
ukitaka kuoa nenda kwa
kina binti asbh kabla hajaamka!!
 
Mtu akikuona ukitoka kuamka na ukishajimake..hatarii

Nilikuwa na room mate A'level akiamka hashuki hata dekani bila kupaka poda na wanja,kukutana nae koridoni akiwa hajaweka poda basi mvizie akitoka bafuni tu!
 
Hata kama makeup ni fake lakini Wamependeza
the looks after makeup ni "eye catching' ....
ndo zinatufanya tusindikize watu na macho bila kujitambua


Sindikiza tu kwa macho maana ukivuta ndani huyo akiamka asubuhi lazima umpe shikamoo!
 
Sisi wapenda natural bado tunazipenda zile zile sura zao za asili because the real beauty comes from inside kwa vitu visivyoonekanika kwa macho na sio hizo superficial!.

Kwa sisi ambao tunasikilizia from within,hizo make-up ndizo zinatuput off kabisa hata ku ... unaweza kushindwa na kwa vile sweetness is an attitude of mind then hata kama ni bingwa vipi you end up getting nothing!.

Ushauri kwa dada zetu, be as natural as you can and if you have tuu, then tumia natural products.
P.
 
Nilikuwa na room mate A'level akiamka hashuki hata dekani bila kupaka poda na wanja,kukutana nae koridoni akiwa hajaweka poda basi mvizie akitoka bafuni tu!


Unaona sasa

Yote hayo ya nini!!
 
Back
Top Bottom