The Marley brothers.....!!!!

The Marley brothers.....!!!!

Ushaiskia album ya distant relatives yuko na Nas Escobar?
mkuu hiyo album ni kisanga patience,friends,leader,tribal war hii ni real music aisee,,na kuna album nyingine ya ziggy flyrasta ni habari nyingine....,.
 
Unajua yule dogo kwenye video ya 1 love ni damian jr gong marley?
 
Mazingira ya kipindi hicho yaliruhusu kuwachapa nao bila ya ................
 
Watoto wa hayati the legend Bob Marley
5ddd8e2016949a136c50e0dc17a4b4ff.jpg

6bedfea308ca5d066efa33d01e55b03d.jpg
Kitu ambacho watu hawajui Ni kuwa ukiwa Na nywele nyingi za asili basi nguvu unayokuwa nayo mtu sio mchezo, fanya uchunguzi utajua
 
Kitu ambacho watu hawajui Ni kuwa ukiwa Na nywele nyingi za asili basi nguvu unayokuwa nayo mtu sio mchezo, fanya uchunguzi utajua
Its tru kabisa mkuu nshawah ona halafu hata from biblical point of view Samson nae nywele zake
 
Hicho kichwa cha pili toka kulia ni hatari sana! Ref: "DISTANT RELATIVES" with Nas Escobar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom