Sizitaki mbichi hizi.Daaaa Bora tumetoma mapema maana kupoteza final mbili mfululizo ingekuwa mbaya zaidi .....!
Let's go
We nae khaaah, tumefika final mara 2 mfululizo, now tumeishia semi ndo hatuwezi?Nyie macarabao na EPL ndo uwezo ulipoishia. Huku Europe cups bado sana.
Mmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenuHaya nendeni final mkatwae la 7, sisi tumewachia wenyewe mpambane nalo.


, sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.Kheeeh kwan wee ushachukua hilo kombe? Si final bado khaaaah.Vp cocastic ulinijibuje?View attachment 2211905
Bora Liverpool tukutane na hawa vijana wa Anceloti....sitamani kabisa kuonana na Joseph Guardiola.....
#Siempre JMT![]()
Mmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu, sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.






yaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaahMmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu, sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.


mzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CL

Lazima nimfukulie maana alijitia ujuaji sana.Mfukulie makaburi tu![]()
Wee hilo kombe ushachukua kwan? KhaaaahLazima nimfukulie maana alijitia ujuaji sana.
Narudia tena Pep pale city bado ni failure mpaka abebe UEFAmzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CL
Maana mpaka Sasa Hana kisingizio kingine![]()
Njoo Liverpool jamani mrembo utakufa na presha na hiki kikundi cha wahuniyaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaah
Wakijitusu kumfukuza Pep itakuwa kwisha Habari yaoMmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu, sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
Mlikuwa mnasema kuwa Villarreal hatuna uhakika hata wa sareWee hilo kombe ushachukua kwan? Khaaaah

, saiv unaniambia mmesha hata hilo kombe? 

Uyu Dogo na Mwenzie glealish wamevurunda mno,Uchawi wa PEP ukiacha kufanya kazi wachezaji wengi wa city wanakuwa takataka mmojawapo ni Rahim Stearling

Ha ha ha....Raia mmechachamaaHuyo hamnaga kitu. Kubinua tu kiuno.
