Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Kabisa mkuu, Phil Foden nae kapelekwa mchaka mchaka mpaka akawa mwekundu kama KDBGlealish na stearing Wana uchezaji was Aina moja, ambao unaifavor timu inayoongoza goli nyingi, lakini sio kwenye pressure kubwa Kama game ya leo





