Grealish kwa ule mshahara wake ni ngumu sana timu kumfuata labda kutolewa kwa mkopo.Uza
Grealish
Nunes
Stones
Ake
Gundogan
Doku
McAtee
Tulete wingbacks wawili +Cherki+Reijnders.
Halafu tukutane msimu ujao.
Watolewe hata kwa mkopo tu manake atasugua sana benchi mbele ya Marmoush, hapo Foden naye akirudi kwenye form ndiyo balaa tupu, kuna savinho, kuna oscar bobb, kuna Bernado kama akibaki kiufupi kwenye winger pako overcrowded.Grealish kwa ule mshahara wake ni ngumu sana timu kumfuata labda kutolewa kwa mkopo.
Most likely kuondoka ni Gundogan, Stones, Ake, McAtee labda na Nunes, Doku bado tunaye sana tu.
Kombe la dunia, vilabu? ama mataifa?Bingwa wa kombe la dunia atakuwa anavaa jezi zenye badge maalumu ya FIFA mpaka 2029 ambapo ndiyo michuano mingine itafanyika.
GK sijui tutaenda na yupi!Haya sasa tumeshamalizana na Milan huko, Tijjani anatua Manchester.
ClubKombe la dunia, vilabu? ama mataifa?
Pep kasema makipa wote watabaki, hiyo inaashiria hakuna usajili wa kipa utafanywa dirisha hili.GK sijui tutaenda na yupi!