The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Siku kama ya leo mwaka 2023, Ilkay Gundogan anaweka rekodi ya kufunga bao la mapema zaidi kwenye fainali ya FA.

Alifunga bao ndani ya sekunde 13 tu!
 
Hizi siasa sijui tumeanza lini.

IMG-20250603-WA0023.jpg
 
Sasa kama tuliweza kutoa £50+ million kwa mtu kama Nico Gonzalez tunashindwa nini kutoa €30 million kwa cherki?
Inabidi tuuze ili kuweka balance, maana huu msimu tumetoka trophyless, pesa zilizopatikana zimetumika Jan transfer window n.k
 
Kuna ripoti zinasema Arne Slot kafanya mazungumzo na Cherki, inabidi tu seal hilo haraka lasivyo tutaendelea kutapa tapa sokoni.
 
Fabrizio Romano karipoti kuwa tutegemee "Here we go" soon kwenye dili la Reijnders.
 
Kufikia alhamisi nafikiri tutakuwa tumefikia hatua hii kwa mujibu wa hizi ripoti.

IMG-20250603-WA0031.jpg
 
UEFA wamebadilisha sheria.

Kuanzia msimu ujao, timu zitakazomaliza nafasi 8 za juu zitacheza second legs uwanja wa nyumbani mpaka hatua ya semi final.

Kwa lugha nyingine ni kwamba zitaanzia ugenini kwenye hatua za 16 bora mpaka kufikia nusu fainali.
 
Back
Top Bottom