Issue sio tu ku improve, je anaipenda hiyo nafasi? yupo tayari kutumika kama beki kwa muda wake pale city?He will improve.
Kilichomkuta jack kinaenda kutokea kwa Nunez.Safari ya Grealish imekuwa very tragic pale City.
Pep anabeba lawama kwa kuua kiwango cha one of the most brilliant playmakers in EPL.
Toka mechi yake ya kwanza tulicheza na Totteham akawekwa winga kabisa wa kwenye chaki nikaanza kuhofia matumizi ya pep kwa grealish.Safari ya Grealish imekuwa very tragic pale City.
Pep anabeba lawama kwa kuua kiwango cha one of the most brilliant playmakers in EPL.