The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

McAtee inasemekana hatakuwepo kwenye kikosi kitakachoenda USA kwa ajili ya CWC.
 
Tumekimbia dili la Wirtz, sasahivi bado tunajivuta kutoa £30 million tu kwa mtu talented kama cherki, tumekuwaje sikuhizi?
 
Wikiendi kulikua na event ya KDB cup ambapo timu za saba za academy ambazo ni "guests" zilishiriki.
 
IMG-20250603-WA0018.jpg
 
Kesi za financial fair play zimetuandama!
Hii nayo inaweza kuwa sababu lakini ukija kufikiria tuli spend karibia £200m dirisha la January utajiuliza kuna ugumu gani kukamilisha hizo deals.
 
Back
Top Bottom