Apo itakuwa Diogo costa maana yule kipa wa espanyol Garcia anaenda barca.GK sijui tutaenda na yupi!
Ederson waarabu wanamtaka.Pep kasema makipa wote watabaki, hiyo inaashiria hakuna usajili wa kipa utafanywa dirisha hili.
Sioni akiondoka, wacha tuoneEderson waarabu wanamtaka.
Huyu mzee tutamkoa upara huo, alete wingback wa kueleweka.Pep kasema anaplan kuendelea kumtumia Nunes kwenye right back.
Hizi timu hazitakaa zirudi kwenye domination zilizokuwa nayo miaka ya nyuma kama zitaendelea na trend hii.
City tuna masihara kwenye hili dili, ndio bid gani hiyoLyon wamekataa bid yetu ya £23m.
Ukiangalia Nunes kwenye hiyo nafasi offensively yupo vizuri, ana shida kwenye ku defend nafikiri aki improve hapo tunaweza kwenda naye.Huyu mzee tutamkoa upara huo, alete wingback wa kueleweka.
Hiyo weakness yake kwenye kudefend ndiyo haitakiwi, yule ni kiungo natural.Ukiangalia Nunes kwenye hiyo nafasi offensively yupo vizuri, ana shida kwenye ku defend nafikiri aki improve hapo tunaweza kwenda naye.
He will improve.Hiyo weakness yake kwenye kudefend ndiyo haitakiwi, yule ni kiungo natural.