Kuwa na midfielders umri umesogea ni disadvantage kubwa tu.😀Inaweza kuwa Sababu ila sio Sana mkuu,wazee katika Tim ya inter Milan ni Kipa Sommer 37,Arcebi 37 centre beki, kiungo Henrik mkhrutariyan 36 na labdah hakan Coulingohu miaka 31 walobaki wote under 30 na hawa nliowataja maeneo Yao hawazunguki Sana ....
Ndio hapa Guardiola na Madrid wanapogiga Tim nyiingi defence sio kulinda Tu Ata kulinda kwa kushambulia,Tim za Italy zinaamini Sana katika defence na counter play wakikutana na Tim inayojitahidi kubalance shape Yake balaa huwa kubwa
Hizi timu za Italy ndio maana zinaaibishwa hata kama ni ubora kdb ni wa kumpa miaka mi3KDB siku ya leo anaenda kufanya vipimo kabla ya kusaini mkataba wa miaka 3 na Napoli.
Wao walitaka kumpa mkataba wa miaka miwili na option ya kuongeza mwaka mmoja, KDB akataka mitatu, jamaa wakabend.Hizi timu za Italy ndio maana zinaaibishwa hata kama ni ubora kdb ni wa kumpa miaka mi3
Mara ya mwisho timu kusajili fullback wa kueleweka ilikua 2019, miaka 6 ilopita (Cancelo).Rayan Ait-Nouri has already said yes to Man city.
Talks with wolves expected to pick up pace now.
[Fabrizio Romano]
Mwaka 2022 tulimnunua Sergio Gomez ambaye ni left back, japo hakuonyesha kiwango cha kuridhisha.Mara ya mwisho timu kusajili fullback wa kueleweka ilikua 2019, miaka 6 ilopita (Cancelo).
Wakomae watuletee fullbacks hizi mambo za kutumia ma CB tumechoka.
Yule tulipoteza hela tu, ndio maana nkasema fullback wa kueleweka mara ya mwisho kusajili ilikua 2019.Mwaka 2022 tulimnunua Sergio Gomez ambaye ni left back, japo hakuonyesha kiwango cha kuridhisha.