Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 677
- 828
Fainali ya UEFA inakuwa kama mechi ya Ligue 1Hii game ipo one sided, game za namna hii hazina mvuto kwa watazamaji neutral.
Fainali ya UEFA inakuwa kama mechi ya Ligue 1Hii game ipo one sided, game za namna hii hazina mvuto kwa watazamaji neutral.
PSG ni wazuri ila si invincible kama mnavyowaona, kamtoa villa na arsenal lakini kwa mbinde, hata ile game ya liverpool second leg liva walikua wana uwezo wa kusawazisha lile goli ila tu walikosa clinical finishing.Huyu PSG huko World cup mbona atatuletea noma sasa.
Intermilan nao wazee kwenye midfield wamekutana na vijana damu ya moto lazima wangetepeta tu.Acha uwoga...Psg kakutana na Timu Bora iliyo kawaida,Najitetea kwa hoja zifuatazo
1.Watu wengi WA mpira tulitegemea kabisa inter Milan atapoteza kutokana na namna alivyocheza Nusu Fainali Vs Barcelona.Ile Nusu Fainali Ndio inakila Aina ya password ya kumbomoa inter Milan...Kama ambavyo mech za El clasico zilivyompa password arsenal ya kumbomoa Real Madrid
-Inter Milan nguvu Yao kubwa ni mawing back (Nikimaanisha Dimarco na Dumfries) kwenye game Vs Barcelona magoli karibia ma5 yametokea upande WA Barcelona WA beki WA kushoto (Kulia kwa inter Milan) Yule Dogo alikuwa anapanda na kushuka (Akishambuliwa hakuna WA kumsaidia kuziba gepu lake Ndio maana kwenye hii fainali Kocha la Psg Kampa kazi Nuno Mendez (Beki WA kushoto wa PSG) asipande Sana maana upande wake Ndio wenye balaa Mjini,Alafu Namba 11 anamsaidia kukaba tofauti na Raphinha yeye alikuwa anawaza kufunga Tu abebe Kiatu mambo ya kukabaa aah
-Alafu upande WA kulia WA PSG huku Ndio kabisa walifanya kama Barcelona walichokuwa Wanafanya wamemzuia Dimarco asisumbue Ambapo hakimi na Desire Doue/Barcola wamepata Uhuru mno maana mchango WA goli 4 umetokana na upande huu....
Suluhisho
Psg anatoboka au anafungika kupitia Tim zenye Kasi ,zinazoshambulia Kila upande(Yaani winga zote zinasumbua) na uwiano mzuri WA kukaba na kushambulia mfano Tim kama Man city, Liverpool, Barcelona, Madrid zinawezaa msumbua Psg
••Uthibisho huu hapa kwanini mech ya Barcelona ni password kwa PSG... inter Milan alifungwa goli 5 mech zote kabla ya Nusu Fainali ,ila kwenye game ya Barcelona akafungwa goli 6,Kipa kafanya wao alifanya save 18 nyiingi zaidi .Hivo Kocha WA psg alipita humu humu na kubeba kombe Ingawa sikutegemea goli zingefika 5View attachment 3352553
Huwa sipendi kabisa utani au uchekeshaji wa kimichezo ukitumia picha za hivi 😔😔
Nakumbuka hata ile mechi yetu walitupiga 4-2, first half tulienda nao toe to toe, second half tukawabamiza goli 2 za chapchap kisha ndio wakafanya comeback.Intermilan nao wazee kwenye midfield wamekutana na vijana damu ya moto lazima wangetepeta tu.
Mkuu hiyo picha sio tukio halisi (mtu kumdunda mwingine).Huwa sipendi kabisa utani au uchekeshaji wa kimichezo ukitumia picha za hivi 😔😔
Mambo kama haya pamoja na kauli kama timu fulani imeibaka timu fulani huwa yananihuzunisha sana maana inafanya ukatili kama huu uonekane kama jambo la kawaida na la kuchekewa.
😀Inaweza kuwa Sababu ila sio Sana mkuu,wazee katika Tim ya inter Milan ni Kipa Sommer 37,Arcebi 37 centre beki, kiungo Henrik mkhrutariyan 36 na labdah hakan Coulingohu miaka 31 walobaki wote under 30 na hawa nliowataja maeneo Yao hawazunguki Sana ....Intermilan nao wazee kwenye midfield wamekutana na vijana damu ya moto lazima wangetepeta tu.
Hamna asee,tenah unaweza Dhani walikuwa pungufu kabisaa.... Tusubiri club world cupUmechambua vizuri mkuu.
Unajua mtu ukiona Inter kashakufa 5-0 na ni fainali lazima upaparuke, sidhani kama kuna mtu alitegemea Inter kufa goli nyingi vile.