Acha uwoga...Psg kakutana na Timu Bora iliyo kawaida,Najitetea kwa hoja zifuatazo
1.Watu wengi WA mpira tulitegemea kabisa inter Milan atapoteza kutokana na namna alivyocheza Nusu Fainali Vs Barcelona.Ile Nusu Fainali Ndio inakila Aina ya password ya kumbomoa inter Milan...Kama ambavyo mech za El clasico zilivyompa password arsenal ya kumbomoa Real Madrid
-Inter Milan nguvu Yao kubwa ni mawing back (Nikimaanisha Dimarco na Dumfries) kwenye game Vs Barcelona magoli karibia ma5 yametokea upande WA Barcelona WA beki WA kushoto (Kulia kwa inter Milan) Yule Dogo alikuwa anapanda na kushuka (Akishambuliwa hakuna WA kumsaidia kuziba gepu lake Ndio maana kwenye hii fainali Kocha la Psg Kampa kazi Nuno Mendez (Beki WA kushoto wa PSG) asipande Sana maana upande wake Ndio wenye balaa Mjini,Alafu Namba 11 anamsaidia kukaba tofauti na Raphinha yeye alikuwa anawaza kufunga Tu abebe Kiatu mambo ya kukabaa aah
-Alafu upande WA kulia WA PSG huku Ndio kabisa walifanya kama Barcelona walichokuwa Wanafanya wamemzuia Dimarco asisumbue Ambapo hakimi na Desire Doue/Barcola wamepata Uhuru mno maana mchango WA goli 4 umetokana na upande huu....
Suluhisho
Psg anatoboka au anafungika kupitia Tim zenye Kasi ,zinazoshambulia Kila upande(Yaani winga zote zinasumbua) na uwiano mzuri WA kukaba na kushambulia mfano Tim kama Man city, Liverpool, Barcelona, Madrid zinawezaa msumbua Psg
••Uthibisho huu hapa kwanini mech ya Barcelona ni password kwa PSG... inter Milan alifungwa goli 5 mech zote kabla ya Nusu Fainali ,ila kwenye game ya Barcelona akafungwa goli 6,Kipa kafanya wao alifanya save 18 nyiingi zaidi .Hivo Kocha WA psg alipita humu humu na kubeba kombe Ingawa sikutegemea goli zingefika 5
View attachment 3352553