Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,367
- 8,407
Mngetuomba mnyama hojlund angetupia nyingi😎Tume dominate kila kitu, ni goli tu ndio tunakosa.
Mngetuomba mnyama hojlund angetupia nyingi😎Tume dominate kila kitu, ni goli tu ndio tunakosa.
🤣🤣🤣View attachment 3337245
Kwa kikosi hiki naangalia boli jwa amani
Mtalia sana mwaka huuHow the hell hii haikuwa red? kipa kagusa mpira kwa mkono nje ya box lake.
View attachment 3337395
Kivipi mkuu wakati tunaenda kuchukua world cup?Mtalia sana mwaka huu
Piga Man shity hao nacheka saaaaaana hahaha hahahaMan shitty mmeamkajee![]()