The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

😥😥
IMG-20250518-WA0003.jpg
 
Siku kama ta leo, mwaka jana Man city inakuwa timu ya kwanza kushinda mataji 4 mfululizo ya EPL.
 
Kwenye hii list everton iba wachezaji 11 wanaomaliza mkataba mwisho wa huu msimu 😂
IMG-20250519-WA0003.jpg
 
Kuna ripoti zinasema tumejitoa kwenye race ya kumsajili Wirtz.
 
Gharama za usajili wa Wirtz zinazidi kupanda, ambapo inasemekana kufikia £250m (Ada ya usajili + mshahara n.k)

Hii ndiyo sababu ya City kuondoa interest kwa Wirtz.
 
Back
Top Bottom