Nikawa nimejiuliza inakuwaje leo bernado anakuwa DM mbele kova, kumbe kova hayupo fiti.
Sababu ya uwepo wa natural wingers basi nafikiri fullbacks watakuwa wana invert badala ya ku overlap kama ambavyo huwa wanafanya toka pep aanze kutumia box midfield.