The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tunapeleka Formal offer wiki hii kwa ajili ya Tijjani Reijnders.
 
Action packed week.
IMG-20250519-WA0007.jpg
 
Foden angekuwa kwenye peak yake ya msimu uliopita, sidhani kama team ingahangaika sokoni kutafuta mbadala wa KDB.
 
Foden na kdb ni mbingu na ardhi mzee, two different kind of players.
Mkuu, ndio maana ukaitwa mbadala, sio copy, hata huyo Wirtz tuliyekuwa tunamfuatilia passing ability yake utalinganisha na KDB?

Foden ni natural Attacking Midfielder (anachezeshwa tu pembeni sababu ya uwepo wa KDB) na anaweza kuibeba timu vizuri tu kama tulivyoona msimu ulioisha, kama akiwa kwenye form.

Foden yule wa msimu uliopita tungekuwa naye msimu huu, kazi ambayo ingekuwepo ilikuwa ni kumtafutia box to box midfielder wa maana tu, labda na Attacking Midfielder wa bei chee kupanua kikosi, tusingehangaika na wachezaji wa £100m+
 
Back
Top Bottom