Watu mnaokuja na hizi kauli huwa mnanishangaza, toka 2020 huko watu wanasema pep kajulikana 😂😂Sidhani kama ipo leo,mpira wa Guardiola umeshajulikana
Sio kwa City hii ambayo ipo slow sana sana.Haka kampira kameshajulikana codes zake.Watu mnaokuja na hizi kauli huwa mnanishangaza, toka 2020 huko watu wanasema pep kajulikana 😂😂
Sasa mkuu toka pep kaja england 2016 ndio wamemjilia mwaka huu?Sio kwa City hii ambayo ipo slow sana sana.Haka kampira kameshajulikana codes zake.