The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sasa hapa tuanze ku gain momentum hizi game 5 zilizobaki tukanyage zote.
 
IMG-20250419-WA0061.jpg
 
Uyu mzenge ana roho ngumu 😂😂😂

Yani anapost na kucomment mwenyewe uzi mzima 😂😂🙌🏾🙌🏾
 
Villa wakifanya hiki wanachokifanya kwa Newcastle kwa Man City pia itapendeza sana.
 
Kwa hiyo perfomance ya villa hii city yangu ya kuungaunga sijui tu.
Acheni wawafunge tu kwa kweli. Mmeanza kuamka na sisi tunatamani mmalize ligi katika nafasi ya 6 au chini zaidi. Mwakani Champions League itakuwa na timu 5 za Premier League na timu zote duniani na mashabiki wote duniani hawataki nyie muwepo miongoni mwa hizo 5.
 
Champions league football kwetu ni inevitable, hebu ona hii scenario.

Zilikua timu nne ziende, sisi tukatupwa nje ya top 4, ghafla Arsenal mnamfunga Madrid kisha zinakuwa timu 5, nafasi ya UEFA ikatufuata tulipo.

Tunadraw game zetu za muhimu then Nottingham, Newcastle na Kenge ambao ni wapinzani wetu kwenye hizo nafasi wanafungwa nawao ama kudroo game zao.

We are soo important kiasi kwamba hatupambanii top 5,bali top 5 ndiyo inatupambania sisi.
 
O'Reilly ni midfielder naturally.

Tukishaleta ma fullbacks nadhani atarudishwa kwenye midfield.
 
Back
Top Bottom