The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bora mmetangulia nyie. Rashford angefunga pale kungekuwa na uwezekano wa nyie kupigwa 5-bila
 
Kwa hii intensity ya huu mchezo na hii midfield yetu ya watu wazima naona kama tutakata moto soon tu.
 
Ila ile penati ya mchongo bana
Halali.
Ile nguvu aliyomgongea mguu lazima ingemuangusha. Saa zingine marefa wanasamehe ikiwa ndani ya box ila nje ya box huwa ni faulo. Ndiyo maana VAR walimuomba refa akaangalie screen.
 
Back
Top Bottom